Mawakili na msimamizi wa mirathi hawatawaacha salama.wakate rufaa, waseme alikuwa amechanganyikiwa kwa ugonjwa wakati akiandika huo wosia
You dont bwana.. if u did, Mbona ungeshakua tajir kitamboooo maana hapo ulipo ni mgodi unatembea.. unaamua tu dhahab uanze kuchimba wapi iende sokoni😂😂😂😂😍Kwenye hela I can believe anything😃😃
We haya...You dont bwana.. if u did, Mbona ungeshakua tajir kitamboooo maana hapo ulipo ni mgodi unatembea.. unaamua tu dhahab uanze kuchimba wapi iende sokoni😂😂😂😂😍
Aaahh wapi..Paka wa ulaya au mbwa, wana akil kuliko hata proffesor wa pale yudisim..wangekutolea nje tuHapo mimi ningekuwa jirani na makazinya hao bibi ningehakikisha najiweka karibu na huyo paka na mbwa na kuwapa upendo wa hali ya juu na nitakapoulizwa nitasema mimi na hawa wanyama tumeumizwa sana na huu msiba wa bibi, yule ndie alikuwa mzazi wetu, sasa sijui sasa hivi Fifi (paka) na Boubou(Mbwa) watalala vipi ila nitajitahidi kuwapa faraja.
Nyie mnapenda haya nenda kamkumbatie mwenzako ajisikie vizuri.Everyday unalalamikaga kitu hicho hicho, it is not good at all, unajichoresha sana... Anyways am sorry [emoji120][emoji120]
kuna watu wanataman wawe mbwaAiseee! Watu wana pesa sana, wakati mimi leo sijui hata nakula nini😅
Nitatumia vitisho wakileta ubwege, tia mbata kama hawataki kushow some love. Mbele ya hela wanaleta ufala.Aaahh wapi..Paka wa ulaya au mbwa, wana akil kuliko hata proffesor wa pale yudisim..wangekutolea nje tu
Kwani zao mkuu, mirathi sio lazima wapewe watotowakate rufaa, waseme alikuwa amechanganyikiwa kwa ugonjwa wakati akiandika huo wosia
wachina hawamuamini mungu, mnadhani kila mtu duniani ni mkristo/muislamu?SAWA TU.ila angewaachia watoto yatima au maskini kwa mkataba wa kulea hao wanyama angebarikiwa sana au angeuza na kuwapa maskin angepata rehema kubwa kwa MUNGU
Niko naandika shairi hapa, badae niende na chocolate na mauaua nikamwombe msamaha rafiki yangu mpendwaNyie mnapenda haya nenda kamkumbatie mwenzako ajisikie vizuri.
Kwahiyo utamtia mbata bull dog au german sherphad..wale sio mbwa wa kihodombi au kitanzini..sio mbwa wa kawe au tandale hao..😂Nitatumia vitisho wakileta ubwege, tia mbata kama hawataki kushow some love. Mbele ya hela wanaleta ufala.
Huyo Mungu kule China hayupo, labda useme angefanya jambo la kibinadamu na angekumbukwa.SAWA TU.ila angewaachia watoto yatima au maskini kwa mkataba wa kulea hao wanyama angebarikiwa sana au angeuza na kuwapa maskin angepata rehema kubwa kwa MUNGU
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nitamfata, ila katudhalilisha kwamba hatujui kutunza mke 😜
Wazazi wasenge hao ...mzazi unatakiwa kufanya vema siku zote kwa watoto wako. Mtoto hata siku moja yeye siyo chanzo cha chuki ndani ya familia bali mzazindiyo chanzo hata watoto kuchukiana wao kwa wao chanzo ni mzaziMwanamke mmoja huko Shanghai, China Bi Liu amewaachia urithi wa Dola Milioni 2.8 sawa na Tsh Bilioni 7 kwa mbwa na paka wake aliokuwa anaishi nao na kuwatosa watoto wake watatu.
Bi Liu amefanya uamuzi huo wa kuwapa utajiri paka na mbwa wake baada ya watoto wake wa kike kumtelekeza na kugoma kumtembelea wakati anaumwa magonjwa ya kizee ambapo wanyama hao ndio walikuwa wanampa faraja, urafiki na company.
Hata hivyo kutokana na vikwazo vya kisheria nchini China vinavyokataza usia wa moja kwa moja kwa wanyama, urithi huo sasa uko chini ya usimamizi wa kliniki ya mifugo ya eneo hilo.
Nini maoni yako?