Mbwa Rottweiler wa Kike for Sale $2000

Mbwa Rottweiler wa Kike for Sale $2000

Ebu nidokeze, Terrier Pit-bulls naweza kuwapata kwa bei gani, maana hao ndio mbwa wa ukweli, wakishika mwizi hadi wamuue!!
I guess your aware that Pitbulls have bad publicity because many people kept them for the wrong reasons.I believe you want a dog for the same reasons.I havent ome across a breeder of Pitbulls Tz.I Kenya I know of a mwindimwindinya but wake hununuliwa bfo kuzaliwa .tried to
@ tsh 10000000.Tried to import frSA bt waliwakataatkwakwa ndege.Option ni by road which I cnt.Get even a
 
Naongelea kuhusu mbwa huyu: Terrier Pitbull aka Mashini Kubwa

Pitbull 10.jpgPitbull 4.jpg
 
Kaka hiyo aina siyo kwa begginer kwa mtu anayejua mbwa anaelewa unasema nini wambie waanze na wale kondoowa kijerumani ndio waje kwa huyu maana aina hii ni hatari sio kabisa kwa mfugaji wa mbwa anayeanza not recommended
 
Mbwa million tatu unusu?..... Anaumbo baya kwanza
 
Brethren hapa ndipo akili za ujasiriamali imenifikia.Wale wanafuga kuku na wenye mikahawa pia ni ya kwao.Haina haja kunikejeli na kunionyesha dharau kwa "kazi" yangu.Tukumbuke hata vyumba vya kuhifadhi maiti ina wafanyikazi.Its Betta to encourage one another than to despise th
eir entrepreneurial skills.Share yur opinion but with respect.

Mkuu achana nao hao hawajui thamani ya mbwa na wala hawajui mbwa ni nini nimeshakutana na mtu amenunua mbwa kwa 9mTzs ndo sembuse hiyo 3m unayouza wewe?
 
Mimi ninaye mbwa mmoja hawa mbwa wetu wa kiswahili, nimempa jina la chamukwale ,ni jike yaani huyu dogi wangu ni muoga hatari wala hang'ati yeye ni kubweka tu, haachi mpaka mtu atoke ndani kiukweli anasaidia, kingine sasa yaani chamukwale ni luzi hatari hajui kukataa kila siku ni ugomvi huko nje, yaani akiwa na nyeg zake anamtaim mtu getini ukifungua geti tu anacholopoka mbio tukienda kumtafuta unamkuta analiwa yaani! lakini ni mbwa mzuri.
 
Mbwa kubweka sana ni keronihata akimuona paka au panya atabweka hadi utoke??
Kutoroka ukifungua gate...na wewe mtaim.Jifanye unafungua .. akienda kutoka tu,mbane na gate shingoni..rudia mara kadhaa utajionea matokeo
 
When your dog dashes out when you open the gates,its dangerous for both the dog and the dog owner.The dog could get hit by vehicles and like you say get bitten by other dogs hence wounding or killim it .It could also contract rabies which wouldthen pose a danger to humans and other dogs.
Train your dog to stay in and socialize it so that it doesnt go lookn for trouble
 
Mbwa kubweka sana ni keronihata akimuona paka au panya atabweka hadi utoke??
Kutoroka ukifungua gate...na wewe mtaim.Jifanye unafungua .. akienda kutoka tu,mbane na gate shingoni..rudia mara kadhaa utajionea matokeo

Chamukwale akiona paka au wanyama anaowamudu utafulahi nimbabe hatari,huwa anawafukuza tena kwa mbwembwe , issue ni akiona mtu silaha yake yeye ni kubweka haachi mzee mpaka utoke ndani,hii tumeona ni nzuri inatusaidia natunampa suport ,akianza kelele zake unamtuma tu hata dogo atoke nje basi akishaona mtu katoka kelele zinaisha,hii ya kutoroka namtafutia kidume naamini atatulia
 
This is to let every1 know that the dog got a new owner..sold..thanks for every1s participation..am available for training and consultations anytime on dog behaviour and breeding
 
Big up mkuu, can a brother and a sister dog be suitable for breeding purposes?
 
For breeding purposes I will say NO.Breeding isnt just to increase the numbers of dogs but making them better.Improving on what is already there.When yu breed siblings,youre reducing the genetic pool of yur animals.This makes the offspring s susceptible to inherited disorders and diseases.Personally,I did try breeding a grandfather and grand daughter and it turned out quite horrendous.
Bottom line is inbreeding isnt good though people practice.
 
very well narrated

rastamonsta ...... which domestic animal is the best learner?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom