Ukisikia mtu mzima hovyo ni wewe jamaa , huwezi amini jamaa ni member mkongwe hapa Jf, tukifanya watoto wa Elfu mbili mtasikia Bora shule zifunguliwe au rudini fesibukuSeran nyota yako imeng'aa hapa Boston huku watu wanaheshimu sana na kupenda pets hivyo mbwa wangu nimempa sehemu yajina lako. Anaitwa Kwereseran.
Tena kuna mizee mienzake itaibuka na kuusifia huu uziUkisikia mtu mzima hovyo ni wewe jamaa , huwezi amini jamaa ni member mkongwe hapa Jf, tukifanya watoto wa Elfu mbili mtasikia Bora shule zifunguliwe au rudini fesibuku
Vijana mbona hamtupendi wazee wenu humu jukwaani! Au ni kwa sababu tuna visu vikali?Tena kuna mizee mienzake itaibuka na kuusifia huu uzi
Acha hizo dogo, Seran na mbwa wapi na wapi, usitukashifie wapendwa wetu, unasikia dogo?Seran nyota yako imeng'aa hapa Boston huku watu wanaheshimu sana na kupenda pets hivyo mbwa wangu nimempa sehemu yajina lako. Anaitwa Kwereseran.
Huyu Mzee anakupenda kweli ifike wakati mmaizane tu , kupenda uzeeni Kuna tabu , muonee huruma mzee wa watu kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Wazee katika Taifa hili 😂Ila wewe ipo siku yako!
Watoto tuna andamwa sana tukiketa nyuzi za kitoto mnasema Jf imevamiwa na kukejeli utoto wetu ila Mzee akileta Uzi wa kitoto na wakijunga mbapiga makofi anaupiga mwingiVijana mbona hamtupendi wazee wenu humu jukwaani! Au ni kwa sababu tuna visu vikali?
Ananipenda ananijua? Ndio mapenzi yake yanampelekea akampe jina langu mbwa wake? Mpumbavu kweli!Huyu Mzee anakupenda kweli ifike wakati mmaizane tu , kupenda uzeeni Kuna tabu , muonee huruma mzee wa watu kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Wazee katika Taifa hili 😂
Bado sana!Burg mwambie azingatie hili Master.
View attachment 3624970
Mda mwingine wanahisi wanakufurahisha kumbe wanakukwazaWananikera mbwa hawa!