Kabisa!Mda mwingine wanahisi wanakufurahisha kumbe wanakukwaza
Kwa hapa marekani kwenye viunga vya CIA pale Langley Virginia jina lako liliwahi kuwa security code name ya rais Clinton kama sikosei au Bush. Renegade!Acha hizo dogo, Seran na mbwa wapi na wapi, usitukashifie wapendwa wetu, unasikia dogo?
Mbwa wako mpe jina lako, achana na Seran , kama Obama alimwita mbwa wake jina lake wewe unahindwa nini?

ObamaKwa hapa marekani kwenye viunga vya CIA pale Langley Virginia jina lako liliwahi kuwa security code name ya rais Clinton kama sikosei au Bush. Renegade!