Mbwa wa superbug Boston texas terrier apewa jina inclusive la seran member wa jamiiforums.

Seran nyota yako imeng'aa hapa Boston huku watu wanaheshimu sana na kupenda pets hivyo mbwa wangu nimempa sehemu yajina lako. Anaitwa Kwereseran.
Ukisikia mtu mzima hovyo ni wewe jamaa , huwezi amini jamaa ni member mkongwe hapa Jf, tukifanya watoto wa Elfu mbili mtasikia Bora shule zifunguliwe au rudini fesibuku
 
Seran nyota yako imeng'aa hapa Boston huku watu wanaheshimu sana na kupenda pets hivyo mbwa wangu nimempa sehemu yajina lako. Anaitwa Kwereseran.
Acha hizo dogo, Seran na mbwa wapi na wapi, usitukashifie wapendwa wetu, unasikia dogo?
Mbwa wako mpe jina lako, achana na Seran , kama Obama alimwita mbwa wake jina lake wewe unashindwa nini?
 
Huyu Mzee anakupenda kweli ifike wakati mmaizane tu , kupenda uzeeni Kuna tabu , muonee huruma mzee wa watu kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Wazee katika Taifa hili πŸ˜‚
Ananipenda ananijua? Ndio mapenzi yake yanampelekea akampe jina langu mbwa wake? Mpumbavu kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…