Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Ningependa kujua mechanism inayosababisha wanatane. Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Is this scientific point of view au mawazo yako tu? Jamaa ale vitu vya nduguye Dre?Dume linapomwaga mbegu za kiume huwa hazitoki kwa haraka katika kitundu cha mkojo.(mfano wewe binadam ukiona bao linakuja ukaminya kichwa ili shahawa zisitoke but kwa mbwa hazibi na kusababisha kichwa cha uume kuvimba na kuwa kama bulb au biringanya.ila muda ukienda zile shahawa zinaanza kutoka matone matone kisha wanatengana)
Ikisinyaa baculum inaenda wapi? Nini faida ya baculum?Ana kitu inaitwa baculum, ina expand uume wake unapokuwa kwa jike hadi usinyae ndio itoke
Haha hahah unaonaje tukihamia kwenye ngonò za 🦋?Kweli tudiscuss ngono za mbwa?
Mtoa mada umetuonaje lakini?
Ipo ndani ya uume, baculum ina prolong ejaculationIkisinyaa baculum inaenda wapi? Nini faida ya baculum?
Kwa manufaa ya nani?Ipo ndani ya uume, baculum ina prolong ejaculation
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]Dah.... sijui ingekuwaje na sisi tungekuwa kama mbwa, baada ya mdinyo mnapata uhondo wa super glue siku4 nzima.
Boss akikupigia simu, oya mbona sikuoni ofisini, unamjibu boss tumenasana huku na wife, tangu siku ile ya Ijumaa hadi leo jumanne imegoma kutoka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]Dah.... sijui ingekuwaje na sisi tungekuwa kama mbwa, baada ya mdinyo mnapata uhondo wa super glue siku4 nzima.
Boss akikupigia simu, oya mbona sikuoni ofisini, unamjibu boss tumenasana huku na wife, tangu siku ile ya Ijumaa hadi leo jumanne imegoma kutoka.
Dah.... sijui ingekuwaje na sisi tungekuwa kama mbwa, baada ya mdinyo mnapata uhondo wa super glue siku4 nzima.
Boss akikupigia simu, oya mbona sikuoni ofisini, unamjibu boss tumenasana huku na wife, tangu siku ile ya Ijumaa hadi leo jumanne imegoma kutoka.
Boss atasema ngoja nije kushuhudiaUnamwambia boss “baculum” imevimbia kwa ndani [emoji23][emoji23][emoji23]
Haha haha haha 😅🤣😅🤣[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
Nimewahi ambiwa uume wa mbwa dume Huwa una kirungu mbele ukiingia kwa jike unakuwa umeweka lock kwa ndani na Ili utoke ni mpaka dume amalize shida yake na unywee ndio unatoka tofauti na hapo unanata huko huko sasa sijui ni kweli?