Mbwa wanaponatana wakijamiiana tatizo huwa kwa jike au kwa dume?

Mbwa wanaponatana wakijamiiana tatizo huwa kwa jike au kwa dume?

Nimewahi ambiwa uume wa mbwa dume Huwa una kirungu mbele ukiingia kwa jike unakuwa umeweka lock kwa ndani na Ili utoke ni mpaka dume amalize shida yake na unywee ndio unatoka tofauti na hapo unanata huko huko sasa sijui ni kweli?
Hicho ni kiringu au tufe?
 
Inashangaza sana
Hii baculum itasaidia sana zama hizi ikiamishiwa kwa wale mnaowaita mbwa ahahahah.

Kisingizio cha KIBAMIA kinakufilia mbali. Sasa Baculum limetuna, na kitu bado kinachomoka, sijui mtasemaje tena!
 
Back
Top Bottom