Mbwa wanaponatana wakijamiiana tatizo huwa kwa jike au kwa dume?

Mbwa wanaponatana wakijamiiana tatizo huwa kwa jike au kwa dume?

Harafu kunadume ingine hapo ,inasubiria jike akiachiwa anacho Tena
Migegedano ya ma mbwa huwa sio ya faragha, midume hujazana kwa jike moja ikigembea kugegeda, ile midume inayoshindwa hubaki hapo hapo ikikodoa macho ulimi nje kushuhudia mshindi anavyosokomeza bilinganya 😜
 
Rafiki yangu alikuwa akiona mbwa wamenasana anaenda kuchukua kaa la Moto anaenda kuwaunguza pale Kati. Wanaishia kulia tu Ila kuachana wanashindwa.hadi wanaturn red.
 
Rafiki yangu alikuwa akiona mbwa wamenasana anaenda kuchukua kaa la Moto anaenda kuwaunguza pale Kati. Wanaishia kulia tu Ila kuachana wanashindwa.hadi wanaturn red.
Jamani sa mbona alikua anawafanyia ukatili hivi....
 
Mbwa wananasana endapo itatokea kitu cha kuwasumbua mfano watu au kitu chochote kuwatoa kwenye mood ila wakiwa wenyewe wanafanya vizuri bila kunasiana, mimi ni mfugaji wa mbwa naandika from experience
 
Back
Top Bottom