Sijawahi kuona uharo kama huu katika maisha yangu ya kupenda soka. Iweje kusiwe na professional hata mmoja kwenye tuzo hizi? hivi okwi Pascal wawa wanakosaje?
TFF na bodi ya ligi mmetepeta
Dah Tanzania kuna maajabu kwel duh mtu kafundisha mechi 7 kapewa kocha bora duh? Uhalal ulikuwa hv kocha bora hans na msuva mchezaji bora na kipa bora n barthez. Na mm si mpenz wa yanga sijawah kuipenda yanga ila ukwel usemwe bwana hatuna tuwezalo hadi tunzo? Na kipengele cha mchezaji bora tatu bora ilikuwa ni msuva, okwi na paschal wawa
Sijawahi kuona uharo kama huu katika maisha yangu ya kupenda soka. Iweje kusiwe na professional hata mmoja kwenye tuzo hizi? hivi okwi Pascal wawa wanakosaje?
TFF na bodi ya ligi mmetepeta
Dah Tanzania kuna maajabu kwel duh mtu kafundisha mechi 7 kapewa kocha bora duh? Uhalal ulikuwa hv kocha bora hans na msuva mchezaji bora na kipa bora n barthez.
Na mm si mpenz wa yanga sijawah kuipenda yanga ila ukwel usemwe bwana hatuna tuwezalo hadi tunzo?
Na kipengele cha mchezaji bora tatu bora ilikuwa ni msuva, okwi na paschal wawa
umefika wakati mamlaka za udhibiti (regulatory institutions) wa sanaa na michezo zidai and kujiridhidha kwanza vigezo vitavyotumika kwenye uteuzi wa tunzo mbalimbali nchini. Vigezo hivyo vielezwe waziwazi kwa watu wote ili hata pale uteuzi utapofanywa kwa kura za wadau, kila mdau atapiga kura yake kwa kuzingatia vigezo hivyo. Bila ya hivyo tutabaki kila siku tukilalamikia matokeo ya Kili Music Awards, Bongo Star Search, Wanamichezo Bora wa Mwaka, n.k.Kocha alieifundisha timu ya Tanzania Prisons kwa mechi 7 tu kwa msimu wa ligi wa 2014-2015 Mbwana Makata amechaguliwa kama kocha bora, akiwabwaga makocha wa yanga na simba Hans van Pluijm na Goran Kopunovic.
Shabani Kado amechaguliwa kipa bora wa msimu.
Simon Msuva amechaguliwa kama mchezaji bora wa msimu akiwabwaga akina Mrisho Ngassa na Mohammed Hussein "Tshabalala"
Unataka kun'tia njaa tu saa hizi kwa ubishi?Mkuu, kwani kwako profesheno ina maana mtu kutoka nje? Ngassa au Msuva hawawezi kuwa pros?
Unataka kun'tia njaa tu saa hizi kwa ubishi?
Mkuu hata huyo Barthez uliyempendekeza kadaka mechi kama 8 au 9 za mzunguko wa pili wa ligi, mzunguko wa kwanza wote Dida alisimama langoni.
Barthez kadaka mechi zisizopungua 15, kwangu mimi ALISTAHILI TUZO ya kipa bora kuliko Shabani Kado.
Huyu Mbwana Makata anapataje tuzo ya kocha bora jamani? Dah