Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Hii nakubaliana nawe Mkuu maana kiasi kama kilichokamatwa LINDI/MTWARA au ule wa Tanga (zaidi ya Kilo 50) huwezi kuniambia umepitishwa uwanja wa ndege!! Njia ni nyingi za kuingiza hii misumu
Duuh, na mimi nilikuwa nina mzigo wangu wa sembe sasa sijui ntaupitishia wapi..naombeni ushauri wenu wana jambi...ni virob viwili tu vya kilo 25. hici nikibeba kwa guta watanishitukia?
ni kweli usemayo,mzigo upo mwingi sana,maana njia kuu ya kuuingizia hapa ni NJIA YA MAJI
Duuh, na mimi nilikuwa nina mzigo wangu wa sembe sasa sijui ntaupitishia wapi..naombeni ushauri wenu wana jambi...ni virob viwili tu vya kilo 25. hici nikibeba kwa guta watanishitukia?
pwani ya bagamoyo maeneo ya mbegani,kondo,unakuja hadi kunduchi,kote huko unga unapita sana,nilishawai kuwahoj wavuvi na wakaz wa kondo(kuna bandarbubu),wanasema hupewa deal za kuuleta nchi kavu toka kwenye kina kirefu ambako meli huzishusha,kuna mali nying za magendo zinaingia,hakuna doria kule,jamaa wakiuweka kwenge range rover utajua???
Wabongo ni WAGUUUUUMUUUUI....ukiona mwenzio ananyolewa...sasa sijui hajui wenzie wanakamatwa
Nimeona heading kwenye gazeti la dimba la leo,je alipitia uwanja gani?????mwakyembe POYEEEEEEEEE
Punda wa Muda mrefu wa Mh.Mbunge aliyekubali tumbo lake kugeuzwa fuko la kusafirishia Sembe!
Hii nakubaliana nawe Mkuu maana kiasi kama kilichokamatwa LINDI/MTWARA au ule wa Tanga (zaidi ya Kilo 50) huwezi kuniambia umepitishwa uwanja wa ndege!! Njia ni nyingi za kuingiza hii misumu
Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya nchini Hispania.
Source: magazeti ya leo
Hivi aliodakwa nao Masogange ulipitia Tunduma vile? Au ulikuwa kiduchu?
Yametimia.
Jamani, hivi mbona hatukomi tu?
Dah!
Haya bhana.
Mbona hatusii kukamatwa kwa hao wawatumao!!!
Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya nchini Hispania.
Source: magazeti ya leo
Pole ya nini sasa?pole mbwana
mbwana matumla akamatwa na madawa ya kulevya nchini hispania.
Source: Magazeti ya leo