Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Hii nakubaliana nawe Mkuu maana kiasi kama kilichokamatwa LINDI/MTWARA au ule wa Tanga (zaidi ya Kilo 50) huwezi kuniambia umepitishwa uwanja wa ndege!! Njia ni nyingi za kuingiza hii misumu
pwani ya bagamoyo maeneo ya mbegani,kondo,unakuja hadi kunduchi,kote huko unga unapita sana,nilishawai kuwahoj wavuvi na wakaz wa kondo(kuna bandarbubu),wanasema hupewa deal za kuuleta nchi kavu toka kwenye kina kirefu ambako meli huzishusha,kuna mali nying za magendo zinaingia,hakuna doria kule,jamaa wakiuweka kwenge range rover utajua???