Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain.

Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain.

Hii nakubaliana nawe Mkuu maana kiasi kama kilichokamatwa LINDI/MTWARA au ule wa Tanga (zaidi ya Kilo 50) huwezi kuniambia umepitishwa uwanja wa ndege!! Njia ni nyingi za kuingiza hii misumu

pwani ya bagamoyo maeneo ya mbegani,kondo,unakuja hadi kunduchi,kote huko unga unapita sana,nilishawai kuwahoj wavuvi na wakaz wa kondo(kuna bandarbubu),wanasema hupewa deal za kuuleta nchi kavu toka kwenye kina kirefu ambako meli huzishusha,kuna mali nying za magendo zinaingia,hakuna doria kule,jamaa wakiuweka kwenge range rover utajua???
 
Duuh, na mimi nilikuwa nina mzigo wangu wa sembe sasa sijui ntaupitishia wapi..naombeni ushauri wenu wana jambi...ni virob viwili tu vya kilo 25. hici nikibeba kwa guta watanishitukia?

we jitahidi tu uyatumie mwenyewe unaweza kunenepa.
 
ni kweli usemayo,mzigo upo mwingi sana,maana njia kuu ya kuuingizia hapa ni NJIA YA MAJI

Ht pale airport. ..ukiwa unaenda mkoa na vindege vidogo...wakt wa kwenda unakaguliwa kurudi walaaa..mfano mm nilienda mpkani sehem ambayo ni bahari ya hindi na boti ht kutoka south au msumbiji zaweza fika ukapewa mzgo huyoo...cha kushangaza nikipita pale airport hii ya zamani walaaa hukaguliwi...kwahiyo km ningekua na sembe toka huko ningepita nayo tu kuileta tz....wanasahau bahari ni njia kuu pia
 
Duuh, na mimi nilikuwa nina mzigo wangu wa sembe sasa sijui ntaupitishia wapi..naombeni ushauri wenu wana jambi...ni virob viwili tu vya kilo 25. hici nikibeba kwa guta watanishitukia?

Usili Mkuu
Ni PM
 
pwani ya bagamoyo maeneo ya mbegani,kondo,unakuja hadi kunduchi,kote huko unga unapita sana,nilishawai kuwahoj wavuvi na wakaz wa kondo(kuna bandarbubu),wanasema hupewa deal za kuuleta nchi kavu toka kwenye kina kirefu ambako meli huzishusha,kuna mali nying za magendo zinaingia,hakuna doria kule,jamaa wakiuweka kwenge range rover utajua???

Mkuu kule hata siku kukiwa na doria, inakuwa kwa ajili ya manufaa ya wazee walioko doria siku hiyo!! Hukumbuki ile kesi ya maafisa wapolisi walioachishwa kazi kwa KUSAIDIA KUSINDIKIZA MIZIGO YA MAGENDO?? Kama polisi anakubali kusindikiza mzigo wa betri za TIGER, unadhani akipata mzigo wenye kuwa na thamani kubwa zaidi kwake si ndiyo BINGO??? Hii biashara kuidhibiti kwake hakuhitaji siasa na maneno mengiiiii; NI KAZI KWELI KWELI!!
 
Hii nakubaliana nawe Mkuu maana kiasi kama kilichokamatwa LINDI/MTWARA au ule wa Tanga (zaidi ya Kilo 50) huwezi kuniambia umepitishwa uwanja wa ndege!! Njia ni nyingi za kuingiza hii misumu

Hivi aliodakwa nao Masogange ulipitia Tunduma vile? Au ulikuwa kiduchu?
 
aisee mbona kuna dili nyingi tu za kupiga wakuu, tatizo kufanya magari na nyumba kama kipimo cha maendeleo ndio haya
 
Hivi aliodakwa nao Masogange ulipitia Tunduma vile? Au ulikuwa kiduchu?

Nyenyere ni RARE kwa SHEHENA kubwa vile kupita uwanja wa ndege......Huu unaokuja kwa ujazo hadi wa magunia ni wa meli na mashua tuu
 
Hivi ni kwamba hawaogopi au rate ya hii biashara ni kubwa sana???Kila mara wanakamatwa lakini bado watu wanaendelea kubeba mzigo. Hii fursa ilikuwa imejaa sanaa???? Vijana fanyeni kazi, acheni kukimbilia maisha ya short cut
 
Back
Top Bottom