Mbwana Samatta aifungia bao la kwanza Genk

Mbwana Samatta aifungia bao la kwanza Genk

Mboni kam offside au cjui sheria... Watalaamu njoon mniambie
 
WW umeliona gori au unashabikia tu ,
Ni goli zuri na la kiufundi sana tu, kamchanganya goalkeeper alijua amgepiga kushoto ambako ndiko kulikuwa na nafasi kubwa zaidi lakini ye akapiga kulekuke alikuwa yeye, pia bila kujua namna ya kujiposition huwezi funga hilo goli.
 
Kilichofanya apige vile ni haraka na ukaribu kulingana na alivyo pewa pas' shukrani za pekee ni kwa mpiga cross na mtoa pas, kwa jinsi pas ilivyokua angekosa bench lingemuua
 
Hilo goli hata Benjamin Mkapa angelifunga
Ni gori halali ila co soi la kiufundi hâta mwehu angefunga
Ha ha ha! Watanzania kwa kukatishana tamaa hamjambo. Si ajabu kuna watu watakuwa wanamchawia asifanikiwe huko.

Hili goli ni la ufundi kabisa kwa sababu limetokana na team work. Ni goli la DARASANI (kwa wanaojua mpira kama mimi watakuwa wamenielewa).
 
Hapa ndio unaona jinsi gani inakuwa kucheza na profesional players, mpira umechezwa kitimu zaidi Samata ye ka-tap in tu kwenye net. Na kwa mtindo huu atawapiga sana tu alete hizo Euro nyumbani.
 
Kuna haja ya kukuza uwezo wa mashabiki wetu wa michezo kabla ya kukuza michezo yenyewe.Hongera samatta.
 
Back
Top Bottom