Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Hilo goli hata Benjamin Mkapa angelifungasamagoal fundi wa mbagala
Yaani mwili wako huo unakushtaki kuwa hujawahi kucheza mpira zaidi ya ule wa 'chandimu' miaka hiyo.Ni gori halali ila co soi la kiufundi hâta mwehu angefunga
Mkuu utakuwa hujui sheria offside ishavunjwa hapo au unamawazo kama ya Lowasa.Mboni kam offside au cjui sheria... Watalaamu njoon mniambie
Ni goli zuri na la kiufundi sana tu, kamchanganya goalkeeper alijua amgepiga kushoto ambako ndiko kulikuwa na nafasi kubwa zaidi lakini ye akapiga kulekuke alikuwa yeye, pia bila kujua namna ya kujiposition huwezi funga hilo goli.WW umeliona gori au unashabikia tu ,
Hilo goli hata Benjamin Mkapa angelifunga
Ha ha ha! Watanzania kwa kukatishana tamaa hamjambo. Si ajabu kuna watu watakuwa wanamchawia asifanikiwe huko.Ni gori halali ila co soi la kiufundi hâta mwehu angefunga
kweli unahitaji wataalamuMboni kam offside au cjui sheria... Watalaamu njoon mniambie
Kwenye hiyo video Hugo jamaa aliyevaa jezi nyekundu was timu pinzani inaonyesha kammind samatta vibaya mnoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]HONGERA SANA DOGO..
Hilo goli hata Benjamin Mkapa angelifunga