basi umecheeka nusu uachie shuziNimetoka kwenye page ya Aston Villa sasa hivi kwenye ile picha ya Samatta,comments za wabongo zinamake my night 🤣🤣🤣
Sasa bora kule Aston Villa tulikuwa tunaelewa kinachoandikwa na ubavu wa kujibu comments za waEngland tunao
Huku Fenerbahce najiandaa kucheka zaidi,manake sisi hatuwaelewi na wao hawatuelewi!
Samatta anatufanya tuanze kuangalia mpira wa Uturuki sasa 😂😂
Fenebache Timu kubwa kuliko astn villa mzeeUle 'mnyororo wa thamani' unaendelea kwa Genk, Mazembe na Simba?
Alipokuwa Aston villa akipekua kabati la vikombe , akakuta kombe la UefaFenebache Timu kubwa kuliko astn villa mzee
Ova
Vila kucheza striker inahitaji moyo sana, wale jamaa kila mtui anacheza kivyake, Grealish ndio anaongoza kwa uchoyo. Sawa ni mchezaji9 mzurio ila juhudi zake nyingi anataka kufunga mwenyewe na ndio maana ile timu iliponea chupuchupu kushushwa daraja. Ukweli pia mpira haukumuendea vizuri Samatta kwa sababu mwenzake kasajiliwa tu Ollie Witkins na yuko onfore kila mechi anafungaMimi nadhani ni hatua nzuri tu kabisa maana utacheza sehemu unayojuwa unapendwa na kuaminiwa kwa bahati mbaya Villa mambo hayakwendwa kama anavyotaka na huwezi kuwalaumu Villa pia sababu ni ukweli Mbwana hakuweza kucheza vizuri na kuonesha kiwango na hii inatokea sana tu hata kina Mo Salaha iliwatokea tu na wengi tu. Elneny wa Arsenal si juzi tu karudi toka Turkey na sasa hivi anacheza. kujipanga upya na kucheza Fenebarche sio kitu kidogo ni hatua kubwa kwa standard zetu.
Kwisha habari yake
Aah kaharibu kwenda ligi za netiboli. Kwisha !
Kaiacha Dunia kaenda kijijini
Kwa hiyo ameshuka daraja la usajili?
Maana kuacha timu za dunia ya Kwanza na kwenda timu za dunia ya tatu huko ni kushuka hadhi na daraja.
Karuka maziwa akakanyaga mbolea
Umasikini hua unaharibu saikolojia kwa kias kikubwa sana!Kashindwa hata kufika Arsenal wazee wa shamba la bibi FC
Hawachez Uefa haoHuko alikoenda Uefa anacheza
Uefa ganTutamuona sana UEFA. Hongera kwake
Walimaliza nafas ya ngap hao fenabacheSafi sana, hongera kwake na sasa tutamuona kwenye mashindano makubwa ya Europe..keep it up!
Kakudanganya nani ?kauzwa jumlaWacheni mioyo yenu mibovu.....dogo lazima apige u turn arudi uingereza......
manake pale Turkey amekwenda kwa mkopo
Hawachez Uefa hao
Yeah , hawatocheza uefa kabisa kabisa, watashiriki Africa cup of nations manake maskan yao yako mbagalaUefa gan
Hiyo nafasi ni plat number, hawawez maliza juu ya hapo msimu mwingineWalimaliza nafas ya ngap hao fenabache
Basi msitudanganye msimu huu atacheza UCL , kwa ligi ya uturuki nafasi ya UCL ni 1 tu, na Galatasaray ndiye anayeichukua kila siku,Hiyo nafasi ni plat number, hawawez maliza juu ya hapo msimu mwingine
ajabu sana mtu anaamka asubuh na akili mbovu hv, hujui kuna msimu mwingine na mwingine na mwingine na mwingine nk nk