Mbwana Samatta asajiliwa Fenerbahce ya Uturuki

Mbwana Samatta asajiliwa Fenerbahce ya Uturuki

Ule 'mnyororo wa thamani' unaendelea kwa Genk, Mazembe na Simba?
 
Safi sana, hongera kwake na sasa tutamuona kwenye mashindano makubwa ya Europe..keep it up!
 
Ukweli ni huu, Mbwana Samatta kaangalia future yake.

Kujiunga na Aston Villa ilikuwa ni njia tu ya yeye kutafuta nafasi ya kuonekana na klabu kubwa za Uingereza ili ndoto yake itimie, bahati mbaya sana amejikuta akikalishwa benchi na mwisho wa siku angekuja kuuzwa kwa mkopo hapo hapo Uingereza kwa timu za daraja la chini.

Hivyo Samatta akajiongeza mapema kwa kukubali kupoteza ndoto yake moja kwa sasa (kuondoka EPL) ili kuendeleza ndoto nyingine kubwa (kuendelea kucheza Ulaya, katika klabu maarufu).

Yote ni maisha, na maisha ni mchakato mrefu.
 
Samata anahitaji pongezi tupu, kwa kile alichofanya kajitahidi saana, mfano wa kuigwa, still ferne sio timu ndogo, hilo mosi pili sijaona kama alishindwa aston villa ila yule kocha mpumbavu ndio amesababisha samata aonekane kafeli.
 
Ni mkopo mwaka mmoja
 

Attachments

  • IMG_20200925_151556.png
    IMG_20200925_151556.png
    358.8 KB · Views: 3
Kocha wa Aston Villa kalalamika jamaa haoneshi kitu mazoezin, huku nako akileta ufadha, yatakuwa yaleyale, waarabu siyo watu wa mchezomchezo, na safari hii atajipalilia njia ya kwenda marekan au India.
Soma historia vizuri Waturuki sio Waarabu.
 
Back
Top Bottom