Mbwana Samatta avunja rekodi kedekede

kwa hiyo walipo waislamu ndipo ulipo
 
Sasa wewe uandike nini ikiwa wote ntawaandika mimi?

Nimeona hamumwandiki Mbwana Samatta, Muislam mwenzangu, hizi rekodi muhimu anazovunja ndiyo maana nikamwandika.

Unaona vibaya?
Asilimia 99 ya post zako lazima ziwe za kidini
 
Mnaweza kumuona ktk hizo mechi 12 tu zilizosalia kama hatapata majeraha lkn msimu ujao huenda msimuone tena EPL kwani kuna uwezekano mkubwa wakacheza Championship.

Watanzania wanaiona issue ya Samatta kama very extraordinary kwani the country is not a known footballing country kuweza kupata mchezaji wa kuchezea ligi maarufu duniani kama EPL.
 
Mwislamu wa kwanza kutoka Tanzania kucheza uingereza
 
Samatta amenunuliwa na Aston Villa kuokoa jahazi. Kumbuka hilo.

Tunamuombea kazi iliyompeleka iwe ya mafanikio kwake. Amiiin.
Samatta hajanunuliwa kuokoa Jahazi amenunuliwa kuhakikisha ile sehemu ya nne katika mchezo wa mpira wa miguu inafanya kazi yake effectively!

Timu yao ina defense mbovu sana hivyo yeye atafunga and opponents watafunga mara mbili ya Aston
 

Kikwete ni Newcastle
 
Mkuu kwa wiki anachukua zaidi ya milioni 100 unasema hela ndogo na kwa mwaka anchukua zaidi ya bilioni 5 unasema ya kawaida kibongo bongo?

Kwa hela anayolipw samatta akicheza angalau misimu 2 ana uwezo akarudi bongo akavaa msuli akatumia pesa bila kufanya kazi ana akaishi vyema mapaka anakufa.
Mbona analopwa pesa ya kawaida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni baada ya kodi hapo maana waingeleza kwa kodi hawajambo hasa kwa Non English citizens
 
Sasa wewe uandike nini ikiwa wote ntawaandika mimi?

Nimeona hamumwandiki Mbwana Samatta, Muislam mwenzangu, hizi rekodi muhimu anazovunja ndiyo maana nikamwandika.

Unaona vibaya?
Acha ujinga, utamuharibia, udini peleka msikitini tuachie mchezo wetu, ndo burudani yetu hii sisi, sasa unapoingiza haya udini wenu mtatuchafulia mchezo wetu pendwa. Kaka pembeni dada plz,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera

Na wewe umevunja rekodi kedekede

Mtanzania wa Kwanza kukimbia nchi na kujitanabahisha kama mzalendo, mtanzania wa Kwanza ajuza kutapeli vitoto humu

Mtanzania wa Kwanza kupenda haki wakati u mbaguzi wa dini
 
Hongera

Na wewe umevunja rekodi kedekede

Mtanzania wa Kwanza kukimbia nchi na kujitanabahisha kama mzalendo, mtanzania wa Kwanza ajuza kutapeli vitoto humu

Mtanzania wa Kwanza kupenda haki wakati u mbaguzi wa dini
Mdomo ni wako kusema ni haki yako lakini uongo si mwema - kumbuka hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…