Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Basic 1500000Wewe unalipwa ngapi?
Take home 1200000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basic 1500000Wewe unalipwa ngapi?
Nadhani pound 20000Hongera.
Yeye analipwa ngapi?
Nime comment ndio naona comment yakoKichwa cha habari ulipaswa kutumia neno "aweka rekodi" na si "avunja rekodi" kwa maana hapo kabla yake hakukuwa na mtanzania aliyeshikiria hizo rekodi.
Sent using Jamii Forums mobile app
We kwani unfikiri point ya mleta mada ilikuwa ni nini? au we ni mgeni hapa jamvini?Utaharibu uzi sasa hivi.
Samatta ni kijana wa mfano kwanza hana maringo na mstaarabu sana ukitaka kuthibitisha angalia pesa anayolipwa na maisha anayoishi....pia angalia lile sakata alivyokua anashambuluwa na sisi watanzania kwa kucheza vibaya timu ya taifa angalia jinsi alivyojibu jwa utulivu na upole.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hizi gemu ni ngumu sanaMechi za Aston Villa za EPL zijazo,
Villa vs Spurs
Southampton vs Villa
Leicester vs Villa
Villa vs Chelsea
Newcastle vs Villa
Villa vs Wolves
Liverpool vs Villa
Villa vs Manchester utd
Villa vs Palace
Everton vs Villa
Villa vs Arsenal
Westham vs Villa,
Hapa Aston villa lazima wakaze,mechi ni ngumu,Samatta apige kazi ili hata kama Villa itashuka Championship,yeye asajiliwe na team nyingine inayoshiriki EPL,
Good luck MBWANA SAMATTA,
Good luck ASTON VILLA.
Villa ni miamba kuliko hao uliowatajaBora ishuke tu miamba ya zamani irudi pale EPL ikiwemo
Nottingham Forest ambao wana UCL 2 kabatini.
Leeds United
Stoke City au Debry Country
Sent using Jamii Forums mobile app
Washuke tu ili jamaa akacheze kule ChampionshipVilla ni miamba kuliko hao uliowataja
Kabadili Tu. Hata Mimi kuna wakati nilikuwa shabiki wa Arsenal lakini nikahamia kuishabikia Liverpool kwa ajili ya Mohamed Salah na sasa pia naishabikia Aston Villa kwamahili ya Mbwana Samatta.Bibi usiwe mbishi, kasikilize mahojiano ya Kikwete na Salim Kikeke kupitia youtube wakati akiwa rais. Kasema wazi kabisa kuwa yeye ni shabiki wa newcastle. Hiyo spurs alikwambia wapi?