Kwani hii ni awamu ya ngapi bosiHata Mimi Nikisikia Awamu Ya Tano, Nasikia Kama Mjamzito...
Hamna Lolote! Wengine Tunakwazika Kwa Sababu Hiyo Tu! Mateja M.G Yango
Watapigwa wachakae.
Machache hayoYa kufungwa
Kwa kauli hiyo ya "kisiasa" asubiri majibu ya awali tarehe 23/06Punguza chuki basi, kusema kulipa heshima taifa na serikali awamu ya tano ndio imekuwa shida?
Nime screen shot...Wakitoka huko Misri na mabao matatu (3) ya kufunga nitaacha hii ID ya Viatu vya Samaki na kuja na mwingine mpya.
Wakitoka huko Misri na mabao chini ya 6 ya kufungwa pia nitaachana na hii ID.
Wakati mwingine ficha upuuzi wakoWadau wa JF,
Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe. Leo nimemsikia samata akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.
Kama ni kwa ajili ya Tanzania, nampa big up. Lakini kaniboa kuitaja wanaenda kucheza kwa ajili ya serikali ya awamu hii ya tano. Hivi samata hajajifunza kuzungumza kwenye media au na yeye anaupata ukichaa, maana pembeni yake alikuwepo julianza shonza. Huyu dada ni naibu waziri wa michezo sijui, au ndiyo naye ameamua kumuambia azungumze hivyo? Basi taifa stars itarudi mapema sana nyumbani na haitafika mbali kwa sababu kapteni wao kashaanza kuwagawa Watanzania.
Awakilishe TanzaniaUlitaka aseme vipi?
Kwani anakilisha Zambia mkuu?Awakilishe Tanzania
anawakilisha serikali ya awamu ya tano.Kwani anakilisha Zambia mkuu?
Sayari ya awamu ya 5Huyo Samara anaishi sayari gani aisee
Watanzania mmechoka sana akili. Kila kitu kwenu ni shida, labda uchawi & majungu ndio vitu mnavyovimudu. Kwa taarifa yako, mpira wa miguu wa sasa huwezi kuutengana mbali na siasa... Huu sio aina ya mpira waliocheza kina Pele... Hivi kama dini zinaguswa na siasa moja kwa moja, sembuse huu mpira!?Kila kitu ni siasa. Soka wanaingiza siasa. Kwenye kuhitaji utaalamu saisa inaingia. Yaani ni siasa, siasa, siasa.........................................................siasaaaaaaaaaaaaaahhhhhhh
Ndio ivo mkuuKwa maana nyingine wakifungwa lawama ni za awamu ya tano!
Tabu kama vijana wa lumumba?Sasa kosa lake n lipi hapo?? Vijana wa cdm mna taabu sana