Mbwana Samatta: Kwa hili umefeli, na hamtafanya chochote huko AFCON

Mbwana Samatta: Kwa hili umefeli, na hamtafanya chochote huko AFCON

Lakini pia Taifa Stars wamefuzu kwenda AFCON katika utawala wa Serikali ya awamu ya Tano. [emoji16][emoji16][emoji16]Shida iko wapi hapo????
 
Kwa sababu wameingiza siasa chafu za awamu ya 5, huko Misri watachezea vitasa hadi wapoteane. Nasubiria visingizio vyao tu siku wakirudi.
 
Wakitoka huko Misri na mabao matatu (3) ya kufunga nitaacha hii ID ya Viatu vya Samaki na kuja na mwingine mpya.

Wakitoka huko Misri na mabao chini ya 6 ya kufungwa pia nitaachana na hii ID.
Nime screen shot...
Lol
 
Wadau wa JF,

Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe. Leo nimemsikia samata akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.
Kama ni kwa ajili ya Tanzania, nampa big up. Lakini kaniboa kuitaja wanaenda kucheza kwa ajili ya serikali ya awamu hii ya tano. Hivi samata hajajifunza kuzungumza kwenye media au na yeye anaupata ukichaa, maana pembeni yake alikuwepo julianza shonza. Huyu dada ni naibu waziri wa michezo sijui, au ndiyo naye ameamua kumuambia azungumze hivyo? Basi taifa stars itarudi mapema sana nyumbani na haitafika mbali kwa sababu kapteni wao kashaanza kuwagawa Watanzania.
Wakati mwingine ficha upuuzi wako
 
Wachezaji wetu katika kuongea na media bado sana sasa sijui wakija kukutana na Media za juu wataongea nini? Mimi sijasikiliza lakini kama kasema hayo maneno basi kama mchuzi kamwagia chumvi kopo zima ni kumwaga tu. Wewe unaenda kucheza kwa ajili ya Serikali sio nchi kwa hiyo wakishinda huko wa kijani watafanya maandamano kupongeza mwenyekiti. Samata ajifunze kuongea mtu anacheza mpira nje bado hajui kuface Media.
 
Mimi sitafuti pressure. Niliacha kushabikia Taifa Stars kuanzia siku ile tulipopanga matokeo na Uganda tukafuzu. Kambi tunaweka uswahilini wenzetu wako UAE. Tesekeni tu nyie mimi No . Minimum kufungwa 3-0 .
 
Kila kitu ni siasa. Soka wanaingiza siasa. Kwenye kuhitaji utaalamu saisa inaingia. Yaani ni siasa, siasa, siasa.........................................................siasaaaaaaaaaaaaaahhhhhhh
Watanzania mmechoka sana akili. Kila kitu kwenu ni shida, labda uchawi & majungu ndio vitu mnavyovimudu. Kwa taarifa yako, mpira wa miguu wa sasa huwezi kuutengana mbali na siasa... Huu sio aina ya mpira waliocheza kina Pele... Hivi kama dini zinaguswa na siasa moja kwa moja, sembuse huu mpira!?
 
Back
Top Bottom