Mbwana Samatta: Kwa hili umefeli, na hamtafanya chochote huko AFCON

Jamani mwenye kikosi kamili kilichoenda anidondoshee hapa.
 
Kama ameleta siasa hizi boby zikapigwe tu!
 
Hata serikali ya awamu ya tano imemsaidia kuwa mfungaji bora wa Ubelgij!!!

Katoto kameanza siasa haka!
 
Reactions: PNC
Mleta mada hukumsikia vyema, alimalizia kwa kusema kuwa Taifa stars wanakwenda kupambana kwa manufaa ya Chadema na Mbowe.
 
Wakitoka huko Misri na mabao matatu (3) ya kufunga nitaacha hii ID ya Viatu vya Samaki na kuja na mwingine mpya.

Wakitoka huko Misri na mabao chini ya 6 ya kufungwa pia nitaachana na hii ID.
Serious?
 
Usimlaumu sana mkuu maana anachezea GENK...!!
 
Kila kitu ni siasa. Soka wanaingiza siasa. Kwenye kuhitaji utaalamu saisa inaingia. Yaani ni siasa, siasa, siasa.........................................................siasaaaaaaaaaaaaaahhhhhhh
In kinyambe voice
 
Samatta amechemka. Na kwa laana hii Taifa Stars watapigwa wachakae
 
Reactions: PNC
Dah....kumbe Kuna watanzania bado wanaishi awamu ya nne....dah[emoji41]
 
Samatta yuko sawa tu, kila awamu na bahati yake

Nakumbuka awamu ya nne Team ilikua na full support ila tuliambulia vipigo vya ajabu ajabu tu
 
Wakitoka huko Misri na mabao matatu (3) ya kufunga nitaacha hii ID ya Viatu vya Samaki na kuja na mwingine mpya.

Wakitoka huko Misri na mabao chini ya 6 ya kufungwa pia nitaachana na hii ID.
Litunze hili agano lako Mkuu ili yakitokea utimize Kama ulivyoahidi.
 


!
!
Ni Kipigo Kwenda Mbele. Wakimaliza Mechi Ya Mwisho Kesho Ndege Wanarudi Nyumbani.
 
Hata Senegal na Algeria wanamuhofia huyo Samatta kwa taarifa yako.Watakuwa wanamkaba kuliko maelez😵gopa mtu aliyeongoza kufunga magoli kwenye ligi ya Ubeligiji (si ligi ndogo kivile ni kwa sababu wengi hatuifuatilii)
Mane wa Senegal ndo akabwe na Yondani,Salah akabwe na Yondani na kina nyoni,kazi ipo
 
Wafuatilie vijana utaona maajabu
Mimi sitafuti pressure. Niliacha kushabikia Taifa Stars kuanzia siku ile tulipopanga matokeo na Uganda tukafuzu. Kambi tunaweka uswahilini wenzetu wako UAE. Tesekeni tu nyie mimi No . Minimum kufungwa 3-0 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…