Hauhitaji kuwa mtu wa mpira saana kujua hayo mkuu.Mkuu yaaani kama vile ulkwa kwenye kichwa changu,huyo Mudathir na Mao sijawahi kuwaelewa kabisa kabisa.
hafikii hata level ya kichuya!!!!!Sijawahi mkubali huyo Mbwana Samatta na naona ana kiwango cha kawaida tu.
Washamba!!!!Anakuzwa na nani ?.
Watu wa hivi wanakupa ban..Sadio Mane alianza kucheza timu gani EPL? ??Marseille wanamuhitaji ndio timu aliyoibukia Zidane na DrogbaSamatta anakuzwa na wanasiasa ni mchezaji wa kawaida sana.....hata yeye mwenyewe Samatta analielewa hilo!nia yake ya kukimbilia kucheza EPL tena timu kama Brighton ni udhibitisho tosha kabisa....angekuwa na "kiwango"angeanza kuota kuzichezea ManU,Mancity,Liverpool,Arsenal,Chelsea,nk!
Mechi za play- off Ni kwa team zinazorudi kwenye Ligi husika.Mkuu una udhibitisho?
Samatta alipitwa magoli mechi za playoffs[emoji23][emoji23]
uyo rafiki yako je kama ni muangalia X tutajuaje?Mkuu dunia gan hyo inayomtambua ,infact Nina rafiki yangu wa afrika kusini ananmbia hawamjui Samata ni nani
himidi mao hafai ata kucheza lipuliHakuna wa kumkuza samatta, samatta kajikuza mwenyewe kwa uwezo wake binafsi. Tizama akiwa genk, tatizo huku na watu wenyewe anaocheza nao, eti midfielder mudathir anakokota mpira hatua 3 anajikwaa mwenyewe!! Sasa sijui ndio kitete ama hofu!! Binafsi sijawahi kumuelewa na sidhan kama yeye ndio kiungo bora zaidi ya viungo wote hapa tz kiasi cha kuanza yeye!! Mwingine ni huyu himid mao, midfielder za ajabu ajabu tu, wachezaji wa hovyo hovyo afanye nini, sijui beki mwantika!! Tabu tupu.
Mbona game na uganda alifanya vizuri tu
Tz tuna matatizo ila huyu bosi amunike ndio katuongezea shida, kamuacha mkude, haya huyu nyoni anamtupa benchi, kweli nyoni wa kukaa benchi akacheze mwantika!!
Ukweli samata ni moja kati ya wachezaji wachache bora waliowahi kupata kutokea tz.
We ni bonge la ****. Hata nikipata ban for the first time haina mbaya😠.Sijawahi mkubali huyo Mbwana Samatta na naona ana kiwango cha kawaida tu.
Ubelgiji na Tanzania tunalingana kimaendeleo?
Ndiye mfungaji Bora katika Ligi ya ubelgiji Kama Kagere( tz) Messi( Spain) Salah,Manne,aubameyang( England).
Ndiye mchezaji Bora mweusi ubelgiji.
Kasaidia Genk kuwa mabingwa.
Atacheza UCL Mwaka huu.
Wa kawaida kumlinganisha na Nani?
Wapi? Kwa kipindi kipi?
Yupo kijiji gani huko Africa ya kusini ambako hakuna hata tvMkuu dunia gan hyo inayomtambua ,infact Nina rafiki yangu wa afrika kusini ananmbia hawamjui Samata ni nani
Kuna watu hawamjui Lionel Messi. Anashangaa rafiki yake wa SA.Yupo kijiji gani huko Africa ya kusini ambako hakuna hata tv
Hii AFCON hii itazua mambo mwaka huu kwani inasababisha tunayasikia na kuyaona hadi tusiyoyatarajia.