Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hata kama kafungia tako au gegedo ili mradi kafunga kwani ndio kazi yake.Io paragraph yako ya mwisho inakufunga tena. Kazi ya striker ni kufunga no matter kafungia shingo, kichwa, au mkonoo. .
Refer to chicharito
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mnywa kahawa dah!...dogo una dharau sana....ungejua!!Hata kama kafungia tako au gegedo ili mradi kafunga kwani ndio kazi yake.
Huyu mleta mada usikute hana hata ujuzi wa mpira zaidi tu ya kuwa mnywa kahawa wa magemgeni
Aache uchawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Krc genk inaonekana channel gan maana mi natumia dstvsijadis mkuu...ukisoma uzi vizuri utagundua kuwa niliousema ni ukweli mtupu...labda tatizo lako ni kuwa huangalii mechi za Genk live sansana unaangalia updates na clips kwa akina Shaffii Dauda na Millard Ayo!.... Jaribu kuangalia mechi za KRC Genk utarudi kunipa tawile!
huku kumponda Samatta mbona sasa?Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana. Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta. Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
umecomplicate sana kaka....Kama umeweza kukiri ya kwamba wapo washambuliaji kama akina Lukaku na Benteke ambao hawafungi magoli mara kwa mara hasa Benteke aliyekaa mechi 17. Je unadhani ni kwanini wachezaji hao uliowataja hapo juu hawafungi mara kwa mara au wanafunga magoli ya kawaida? Tunarudi kwenye sababu ileile ya ukawaida na ubutu wa mchezaji kwani hata hao akina Lukaku na Benteke kinachoonekana nao pia wana bahati ya kuwepo hapo walipo kwani wapo wachezaji wazuri pengine wa kumudu nafasi zao ila hawajapewa nafasi...so, ukiona mchezaji ana kiwango cha kawaida na bado anaendelea kuaminiwa ujue huyo ana bahati kubwa sana........kuhusu Samatta Usilete ubishi maana nina uhakika huangaliagi Mechi za Genk, zaidi ya kusikia matokeo ya vijiweni na viclip kwenye page za akina Shafii Dauda na Millard Ayo!Naona mtoa mleta Uzi umeamua kutupima mahaba yetu kwa Sammata anyway baada ya kusoma nyuzi kadhaa nimepoa nimeona kwanza nihoji dhamira yako mwandishi.
Striker unataka afunge kwa kuremba kivipi? Lukaku kuna kipi anachofunga kwa kuremba,Je unadhani kufunga ni rahisi kama unafunga kamba ya viatu? Hao wanaocheza ulaya unasema wanafunga eti kwa uzuri,unamjua Benteke we mpira wote anacheza ulaya mpaka match ya Jana nadhani ni game ya 17 hajafunga goal lolote. Usiwe na motive za kudemoralize wenzio kwa husuda zako kazi ya kucheza ligi kubwa kama uingereza sio kazi rahisi so kwa samatta huko sehemu sahihi sema anatakiwa ajaribu kujitahidi zaidi japo anaweza akajitahidi na asipate nafasi ya kuja kucheza EPL maama EPL sio lele mama Leo hii tunaona wachezaji tena wazawa wa England kama kina Calton Cole,Jermain Jena's,Penant pamoja nakuzaliwa mpira ulikoanzia wakashindwa kutamba hapo EPL wakajaishia kucheza India premier league.
Hivyo nakushauri usimlete mifano kijana wetu kwa kumtisha tamaa eti kwa kisingizio cha huvutiwi na ufungaji wake. Samatta sio Bergkamp,Messi wala Ronaldo De Lima ambao walikuwa wakali wa sexy goals.
Wacha azidi kucheza kadri Mungu atakavyombariki kwani kipimo cha kucheza kwa kiwango sio kucheza EPL yuko wapi Saido Berahino? Jana nilikuwa naangalia Betis Vs Sevila ndio nikajua why William Cavalho ameshindwa pata timu England so usimnange Samatta hata alipo panamfaa zaidi aongeze juhudi kidogo apate team zenye Mshahara mkubwa ili aje astaafu vizuri na maisha yake na wanaomtegemea yawe ya raha. Hiyo Bar ya Samatta aje EPL ndio uridhike ni mfano wa kusadikika Handicap ziko nyingi sana kwa samatta ukianzia Historia yetu kimpira so uwezo wake ndio umedefy hata hicho kigezo ndiomaana mpaka tunamuona Europa angekuwa mchovu usingemuona kikosini wazungu hawaangalii bahati.
Naona kama umetoka nje ya mada....Au hujastuka? soma tena uzi vizuri halafu ndio ucommentWatu wasiojua mpira hoja zao za hovyo sana. Mkuu jua tu kuwa kuna aina tofauti tofauti za wachezaji. Kuna strikers ambo wao wanaitwa 'target man' na 'goal poachers' yani hao utawaona wakitupia kambani tu wala hutakaa uwaone wakilamba mabeki vyenga labda kwa nadra sana.
Wapo ma player wakubwa na majina yao waliokuwa hivyo na wakawa ma legend katika soka mfano Ruud Van Nestleroy. Huwezi kumfananisha na De Lima kiuchezaji lakini wote ni ma striker walikuwa wanatupia day in day out.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo mshamba.wee nawe sio mzima...so kila anayetoa analysis ya mpira ajibiwe hivyo? Kwamba positive views ni sawa ila negative ni kosa?...acha ushamba mdau!