Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Hizo threads zimeanzia instergram baada ya kusikia/kuna akikosa penaltie Leo lakini siku zote sizionagi
 
Hapo kwa Benteke ni mfano hai kabisa, akipinga basi hajui mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi kama unawafanyia promo shafii na miradi ayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samatta ana bidii sana na yupo committed ila upande wa kipaji ni wa kawaida sana, yan huwez hata kumfananisha na striker wa mtibwa Kelvin Kongwe Sabato "KIDUKU"

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha Samatta kafika GENK kwa bahati mbaya... (daah!!
Mpaka mtu anakuwa bora afrika unasema ana kipaji cha kawaida..
Anakuwa top scorer..
Unasema SABATO ambae hata goli 10 kwa msimu hawezi kufikisha!!
Wabongo bhana.. Yaani KIDUKU acheze Starz Samatta akae bench?
Uongo mkuu huu
 
Mwandishi
Hujafahamu maana ya neno "exceptional "
Ukilijua hili unaweza futa makala yako.
Hivi unamlazimisha Samatta acheze kama Eden Hazard?
Cr7 na Messi na Dyaballa?
Unachosahau strikers wengi sana wana wanapaswa kuwa na jicho na goli, ambayo ni skills.
To score goals
Unahitaji skills!
Kuwa serious kidogo_

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwandishi
Hujafahamu maana ya neno "exceptional "
Ukilijua hili unaweza futa makala yako.
Hivi unamlazimisha Samatta acheze kama Eden Hazard?
Cr7 na Messi na Dyaballa?
Unachosahau strikers wengi sana wana wanapaswa kuwa na jicho na goli, ambayo ni skills.
To score goals
Unahitaji skills!
Kuwa serious kidogo_

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asipokimbia mtoa post.. basi atahamisha magoli.
 
tatizo la mbongo haishiwi maneno ya Kipuuzi...yaani wakiambiwa ukweli hawataki wanataka wasifiwe tu...hii mbegu ya kisifiwa imepandikizwa na CCM na imekiathiri kizazi chote cha TZ ukiwemo wewe
Good mzee ndio ungevaa juzi tukuone hata kinesi, bandari, mabatini na sehemu kama hizo tuone... Af ukumbuke ktk strikers kuna ball players like suarez Af kuna target men like diego costa, legend van nesterlooy na wengine kibao Hujui mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anafikiri ni mpira wa makaratasi.. BEKI FUNDI, KIPA FUNDI hadi Mshangiliaji.
 
Hapo kwa Benteke ni mfano hai kabisa, akipinga basi hajui mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ni ileile mzee yaani hata huyo benteke anabebwa na bahati aliyonayo tu maana angesha be expelled from his team squad. So Samatta ana bahati kama ilivyo kwa huyo benteke ovaaa!!
 
Endelea kushabikia ndondo mzee...Modern Football huijui!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…