Mbwana Samatta wa Genk kashasahaulika

Mbwana Samatta wa Genk kashasahaulika

Bado chipukizi na wachezaji wengi wa Tanzania wanamuombea Mungu samatta afanye vizuri zaidi huku na wao wakifanya juhudi za kutosha kufikia mafanikio ya samatta na kuyapita
 
Leo mnapigwaaaa!!!
Hamponi!
Hamtoki!
Hamchomoki!

Hayo ndio maneno ya mwisho mwisho kabla hamjakalishwa Taifa.

Chezea Mnyama weye!!

Ukaona umsakame dogo ukijua mnyama atakusamehe!!!!

SIMBA 2 YANGA 1
 
We msenge , mpumbavu, kila aina ya uozo ni wewe .shenz type

Sipendagi ujinga mimi
 
Jifunze kuongea vitu in a positive ways and not in a negative way
 
Let's be fair jamaniiiiiii
Mtu unaandika Hata ile kuona games za Ligi ya Belgium hujaona unachoandika ni kuangalia goals score center Kwa Kuwa ume Bet
Samatta ni mchezaji mzuri tumpe sifa zake tuacheni wivu
 
Unapokosea ni hapo in hapo unapomfananisha Samatta na hao uliowataja kwenye aya ya mwisho
 
Back
Top Bottom