supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Bado chipukizi na wachezaji wengi wa Tanzania wanamuombea Mungu samatta afanye vizuri zaidi huku na wao wakifanya juhudi za kutosha kufikia mafanikio ya samatta na kuyapita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo?yey kasema tu
Kabisa, mstaafu mmoja alisema wapumbavu tukashika bangoKuwa Mtanzania ni changamoto kubwa sana.
Mwambie huyo ajitambuiSasa hayo maneno yako yana mchango gani kwa taifa na kwenye timu ya Genk? Au ya faida gani kwa Samatta?
Hii roho kule MATOMBO inaitwa KAZOPATA.Mbona kama vile unaongea kwa kufurahia kukwama kwa Sammata na sio kusikitika? au una roho ya sambusa na korosho?!
Haya baada ya kutueleza mashudu yako then what next!hahaaa
watu kama nyie nilijuwa mpo wengiii