Hapana,Unamfundisha atuchukie
HapanaHapana,
Sijafikia huko kabisa!
Mwanzo huwa mgumu,naamini taratibu hivi hivi utanikubali anko ako mpya!
Rais wa wapiga deki kwenye ubora wako, nimekumisije sasa.Poa mkuu ukiachana na hao tunakukaribisha chama pendwa cha wapiga deki tz CCWDT
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu hukoNamuonea huruma aki
ha ha ha yaani ni shida aiseeHii kuna jamaa yangu nae alianza tarehe moja akasema.atavunja mwakan tarehe moja..pesa zote alizokua anahonga na kunywa bia ataweka humo,naona katuma picha kwenye grp kashakivunja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijua kiasi uniambie nimuongezee!Hivi alikupa sh ngapi?
Yaani mimi haunipi alafu umpe yeye[emoji134]Ukijua kiasi uniambie nimuongezee!
Nijaribu kumrubuni kidogo
Lazima zipitie kwako bebee!we ndio utapanga kiasi cha kumpa!Yaani mimi haunipi alafu umpe yeye[emoji134]
Hahaha nishakujua wew...Rais wa wapiga deki kwenye ubora wako, nimekumisije sasa.
we mtu unanichekeshaga sana ngoja nivurumishe makombora yangu
we mtu unanichekeshaga sana ngoja nivurumishe makombora yangu