elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Umeona eeeh.Sie team kiba hatupendi showoff za kihivyo
Hiyo misemo yenu ya kua hampendi showoff hua inanichekeshaaaa
Bila shaka wewe lazima ndio WEMA.
WITHOUT A DOUBT.
Acha basi umenichekeshaa lo, yaan kila kitu kuhusu kiba ni wanasema hawapendi showoff yaan wananifurahishajee
BMW X6 released in 2008 went on sale in 2009, kibongo bongo still bado model mpya maana majority magari watu wanayomiliki ya way back.
Sioni tatizo as long as ni ela yake hajamuomba mtu wanamuziki wengi wanafanya hivyo kama akina chameleone wa uganda, bebe cool n.k.
Hapa tz kuna watu wengine nishaona wanazo mfano kuna gari niliziona mwaka jana plate number zake zilikuwa Richard 1 na nyingine Richard 2 sijui zilikuwa gari za richard Mziray au lah.
Umenichekesha sana, show off inahitaji mtu awe nazo kama kazibahatisha kama Dallaz (yule bwanake Wolper) ndani ya week anasahaulika.
Ipo X6 ya 2005.
Hiyo misemo yenu ya kua hampendi showoff hua inanichekeshaaaa
Hapendi kujionesha maana kalidhika na kidogo alichonacho ili mradi siku zinaenda maana huyo anavyojionesha sioni kama anapata faida yoyote au anaingizaga pesa kwa hizo showoff zake?
BMW X6 released in 2008 went on sale in 2009, kibongo bongo still bado model mpya maana majority magari watu wanayomiliki ya way back.
Sioni tatizo as long as ni ela yake hajamuomba mtu wanamuziki wengi wanafanya hivyo kama akina chameleone wa uganda, bebe cool n.k.
Hapa tz kuna watu wengine nishaona wanazo mfano kuna gari niliziona mwaka jana plate number zake zilikuwa Richard 1 na nyingine Richard 2 sijui zilikuwa gari za richard Mziray au lah.
Una Akili kinomaaaa hilo X6 lake ni la fitfth hand hapa bongo na lina Number A so ili aifiche inabidi atumie number hizo!
Hapendi kujionesha maana kalidhika na kidogo alichonacho ili mradi siku zinaenda maana huyo anavyojionesha sioni kama anapata faida yoyote au anaingizaga pesa kwa hizo showoff zake?
Tatizo wabongo elimu ndogo,ufuatiliaji wa mambo mdogo,reasoning ndogo,logic hakunaaaa.Hivi hiyo plate number kila mwezi kama laki moja na nusu hv na mil5 kwa miaka mi3 ndo mumuone huyo jamaa ana swagger au showoff!?!.La mwisho, huyo m.se.nge aache kujiita DANGOTE anatumia jina la mtu mwenye utajiri wa US dollar Bil.20 ,that kinda person huwez kumfananisha mnyoa kiduku anayekaa tandale f.uc.k dat abdul!
Duh! Ndiyo umeshasheheni silaha mkuu?haya bhana vita njema na urudi mshindi!Dah! Nyie jamaa ni kibokoo aisee
Yani nilikuwa sija liwaza hili kabisaa,ngoja nikamchane kwenye page yake msheeenzi
Tatizo wabongo elimu ndogo,ufuatiliaji wa mambo mdogo,reasoning ndogo,logic hakunaaaa.Hivi hiyo plate number kila mwezi kama laki moja na nusu hv na mil5 kwa miaka mi3 ndo mumuone huyo jamaa ana swagger au showoff!?!.La mwisho, huyo m.se.nge aache kujiita DANGOTE anatumia jina la mtu mwenye utajiri wa US dollar Bil.20 ,that kinda person huwez kumfananisha mnyoa kiduku anayekaa tandale f.uc.k dat abdul!
Dah! Nyie jamaa ni kibokoo aisee