mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,084
- 647
Diamond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia Mwaka huu serikali imeruhusu watu kuwa na plate number zenye majina yao kwenye magari lakini ni gharama!
Kwa hiyo na Diamond kahamua kuweka jina lake kwenye plate number! Hata wewe ukitaka unakwenda kuwekea ilimradi ni kulipia TRA!
Alafu ukute anaish nyumba ya kupanga
Anataka kuziba Namba A isionekane kwenye gari
Simpendelei yoyote ila Kiba atasubiri sana kwa Diamond.
Kiba akubali tu kuwa Hawezi kufikia kiwango cha Domo kwa leo labda akazane sana.
BMW X6 released in 2008 went on sale in 2009, kibongo bongo still bado model mpya maana majority magari watu wanayomiliki ya way back.
Sioni tatizo as long as ni ela yake hajamuomba mtu wanamuziki wengi wanafanya hivyo kama akina chameleone wa uganda, bebe cool n.k.
Hapa tz kuna watu wengine nishaona wanazo mfano kuna gari niliziona mwaka jana plate number zake zilikuwa Richard 1 na nyingine Richard 2 sijui zilikuwa gari za richard Mziray au lah.
Huyu mziray sasa hivi chali Maskini ya Mungu
Hivi kweli au stories?
Too bad for them.
Wanakaa banda la uani mwananyamala kule kwenye gorofa la mbezi beach wamekimbia kodi.
Ndo tz yetu hii when u speak truth unaitwa mtu mwenye roho mbaya, WIZKID,DR CHAMELEONE,JAGUAR,SALIF KEITA,DON JAZZY,PREZZO,D BANJ,YOUSSOU NDOR the list goes on hakuna yeyote kati yao aliyethubutu kujiita Dangote itakuwa huyu motto wa juzi kwenye game ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu:angry:Muacheni hata kama anakaa kwenye kiota si pesa zake jamani au nyie mmemsaidia kutafuta, tanzania kuna watu wana roho mbaya jamani angalieni mkiendelea na roho hzo mkijazeeka mtakuja kuwa Wachawi...Pesa Katafuta Mwenyewe Muacheni Azitumie anavyotaka mbona alivyokuwa anaendesha baskeli enzi hzo anauza mitumba tandale amkumwambia...
Ndo tz yetu hii when u speak truth unaitwa mtu mwenye roho mbaya, WIZKID,DR CHAMELEONE,JAGUAR,SALIF KEITA,DON JAZZY,PREZZO,D BANJ,YOUSSOU NDOR the list goes on hakuna yeyote kati yao aliyethubutu kujiita Dangote itakuwa huyu motto wa juzi kwenye game ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu:angry:
Nishaiona zamaniii vipii ashahamiaaaa
Hvi diamond&kiba nyumba zao huwa hazikamiliki tu,kila siku ziko under construction?
Alafu ukute anaish nyumba ya kupanga
Nishaiona zamaniii vipii ashahamiaaaa