Mbwembwe za Dimond

Mbwembwe za Dimond

Kuanzia Mwaka huu serikali imeruhusu watu kuwa na plate number zenye majina yao kwenye magari lakini ni gharama!

Kwa hiyo na Diamond kahamua kuweka jina lake kwenye plate number! Hata wewe ukitaka unakwenda kuwekea ilimradi ni kulipia TRA!

ni wewe tu unaejua mwaka huu lakini wakina chief kiumbe toka mwaka jana wanayo hayo ma plate number
 
Simpendelei yoyote ila Kiba atasubiri sana kwa Diamond.

Kiba akubali tu kuwa Hawezi kufikia kiwango cha Domo kwa leo labda akazane sana.

ki muziki au kifedha?

nauza nyanya na nina hela sana kuliko hao
 
BMW X6 released in 2008 went on sale in 2009, kibongo bongo still bado model mpya maana majority magari watu wanayomiliki ya way back.
Sioni tatizo as long as ni ela yake hajamuomba mtu wanamuziki wengi wanafanya hivyo kama akina chameleone wa uganda, bebe cool n.k.
Hapa tz kuna watu wengine nishaona wanazo mfano kuna gari niliziona mwaka jana plate number zake zilikuwa Richard 1 na nyingine Richard 2 sijui zilikuwa gari za richard Mziray au lah.

Huyu mziray sasa hivi chali Maskini ya Mungu
 
Wanakaa banda la uani mwananyamala kule kwenye gorofa la mbezi beach wamekimbia kodi.

Kama ni hivyo kweli maisha noma sana.
Bora wafanye mpango warudi zao USA maana ukianguka kupanda ngumu na hivi waliingia jijini kwa kasi najua kuna wengi wanawacheka.
 
Muacheni hata kama anakaa kwenye kiota si pesa zake jamani au nyie mmemsaidia kutafuta, tanzania kuna watu wana roho mbaya jamani angalieni mkiendelea na roho hzo mkijazeeka mtakuja kuwa Wachawi...Pesa Katafuta Mwenyewe Muacheni Azitumie anavyotaka mbona alivyokuwa anaendesha baskeli enzi hzo anauza mitumba tandale amkumwambia...
Ndo tz yetu hii when u speak truth unaitwa mtu mwenye roho mbaya, WIZKID,DR CHAMELEONE,JAGUAR,SALIF KEITA,DON JAZZY,PREZZO,D BANJ,YOUSSOU NDOR the list goes on hakuna yeyote kati yao aliyethubutu kujiita Dangote itakuwa huyu motto wa juzi kwenye game ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu:angry:
 
Ndo tz yetu hii when u speak truth unaitwa mtu mwenye roho mbaya, WIZKID,DR CHAMELEONE,JAGUAR,SALIF KEITA,DON JAZZY,PREZZO,D BANJ,YOUSSOU NDOR the list goes on hakuna yeyote kati yao aliyethubutu kujiita Dangote itakuwa huyu motto wa juzi kwenye game ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu:angry:

Wengi hawapendi ukwweli hata kama ni ushauri unabatizwa jina la hater wakushaurio ndo wakutakiao mema mtu anaye kusifia hata ukiwa wrong huyo mbaya hakutakii mema kabisa
 
Alafu ukute anaish nyumba ya kupanga

Yeah! Anaishi nyumba ya kupanga Sinza, nyumba ndogo tu ya vyumba vitatu na maegesho ya gari moja.
Kwenye suala la makazi dogo hayuko vizuri, sio kama kwenye mavazi.
Nilikuwa pale kwenye sherehe ya mama yake, dogo hayuko vizuri nyumbani.
Ila nimesikia anajenga nyumba ya kisasa, nadhani ndo amewekeza huko.
Ova
 
Back
Top Bottom