Mbwembwe za Dimond

Mbwembwe za Dimond

BMW X6 released in 2008 went on sale in 2009, kibongo bongo still bado model mpya maana majority magari watu wanayomiliki ya way back.
Sioni tatizo as long as ni ela yake hajamuomba mtu wanamuziki wengi wanafanya hivyo kama akina chameleone wa uganda, bebe cool n.k.
Hapa tz kuna watu wengine nishaona wanazo mfano kuna gari niliziona mwaka jana plate number zake zilikuwa Richard 1 na nyingine Richard 2 sijui zilikuwa gari za richard Mziray au lah.
 
Bila shaka wewe lazima ndio WEMA.
WITHOUT A DOUBT.

Acha basi umenichekeshaa lo, yaan kila kitu kuhusu kiba ni wanasema hawapendi showoff yaan wananifurahishajee
 
Umenichekesha sana, show off inahitaji mtu awe nazo kama kazibahatisha kama Dallaz (yule bwanake Wolper) ndani ya week anasahaulika.
 
BMW X6 released in 2008 went on sale in 2009, kibongo bongo still bado model mpya maana majority magari watu wanayomiliki ya way back.
Sioni tatizo as long as ni ela yake hajamuomba mtu wanamuziki wengi wanafanya hivyo kama akina chameleone wa uganda, bebe cool n.k.
Hapa tz kuna watu wengine nishaona wanazo mfano kuna gari niliziona mwaka jana plate number zake zilikuwa Richard 1 na nyingine Richard 2 sijui zilikuwa gari za richard Mziray au lah.

Ipo X6 ya 2005.
 
Hhhhaaa hawa team kiba wananiua hako kamsemo mimiii
 
Ipo X6 ya 2005.

May be I am missing something lakini as far as I know prototype yake tu, zilianza kuwa tested 2006, na production yake ilianza Dec, 2007 sasa ukisema ipo ya 2005 hapo sina la kusema.
Labda kama wasema X5 if I am wrong I stand to be corrected.
 
Simpendelei yoyote ila Kiba atasubiri sana kwa Diamond.

Kiba akubali tu kuwa Hawezi kufikia kiwango cha Domo kwa leo labda akazane sana.
 
Hiyo misemo yenu ya kua hampendi showoff hua inanichekeshaaaa

Hapendi kujionesha maana kalidhika na kidogo alichonacho ili mradi siku zinaenda maana huyo anavyojionesha sioni kama anapata faida yoyote au anaingizaga pesa kwa hizo showoff zake?
 
Mi nafurah hako kamsemo kenu kua hapend showoff hhhhhaaa hapo tu mi pamenitekenya tu
 
BMW X6 released in 2008 went on sale in 2009, kibongo bongo still bado model mpya maana majority magari watu wanayomiliki ya way back.
Sioni tatizo as long as ni ela yake hajamuomba mtu wanamuziki wengi wanafanya hivyo kama akina chameleone wa uganda, bebe cool n.k.
Hapa tz kuna watu wengine nishaona wanazo mfano kuna gari niliziona mwaka jana plate number zake zilikuwa Richard 1 na nyingine Richard 2 sijui zilikuwa gari za richard Mziray au lah.

Nini Siri ya Mafanikio ya Richard Mziray?
 
Tatizo wabongo elimu ndogo,ufuatiliaji wa mambo mdogo,reasoning ndogo,logic hakunaaaa.Hivi hiyo plate number kila mwezi kama laki moja na nusu hv na mil5 kwa miaka mi3 ndo mumuone huyo jamaa ana swagger au showoff!?!.La mwisho, huyo m.se.nge aache kujiita DANGOTE anatumia jina la mtu mwenye utajiri wa US dollar Bil.20 ,that kinda person huwez kumfananisha mnyoa kiduku anayekaa tandale f.uc.k dat abdul!
 
Mkuu na uelewa mdogo una changia ushabiki maandazi na ulimbukeni wa wasanii kutafta show character za kijinga ndo ule msemo maskini akipata
 
Dah! Nyie jamaa ni kibokoo aisee

Yani nilikuwa sija liwaza hili kabisaa,ngoja nikamchane kwenye page yake msheeenzi
Duh! Ndiyo umeshasheheni silaha mkuu?haya bhana vita njema na urudi mshindi!
 
Tatizo wabongo elimu ndogo,ufuatiliaji wa mambo mdogo,reasoning ndogo,logic hakunaaaa.Hivi hiyo plate number kila mwezi kama laki moja na nusu hv na mil5 kwa miaka mi3 ndo mumuone huyo jamaa ana swagger au showoff!?!.La mwisho, huyo m.se.nge aache kujiita DANGOTE anatumia jina la mtu mwenye utajiri wa US dollar Bil.20 ,that kinda person huwez kumfananisha mnyoa kiduku anayekaa tandale f.uc.k dat abdul!

Haya walamba viatu vya dangote mpite hapa
 
Tatizo wabongo elimu ndogo,ufuatiliaji wa mambo mdogo,reasoning ndogo,logic hakunaaaa.Hivi hiyo plate number kila mwezi kama laki moja na nusu hv na mil5 kwa miaka mi3 ndo mumuone huyo jamaa ana swagger au showoff!?!.La mwisho, huyo m.se.nge aache kujiita DANGOTE anatumia jina la mtu mwenye utajiri wa US dollar Bil.20 ,that kinda person huwez kumfananisha mnyoa kiduku anayekaa tandale f.uc.k dat abdul!

Muacheni hata kama anakaa kwenye kiota si pesa zake jamani au nyie mmemsaidia kutafuta, tanzania kuna watu wana roho mbaya jamani angalieni mkiendelea na roho hzo mkijazeeka mtakuja kuwa Wachawi...Pesa Katafuta Mwenyewe Muacheni Azitumie anavyotaka mbona alivyokuwa anaendesha baskeli enzi hzo anauza mitumba tandale amkumwambia...
 
Back
Top Bottom