Mbwembwe za Dimond

Kuanzia Mwaka huu serikali imeruhusu watu kuwa na plate number zenye majina yao kwenye magari lakini ni gharama!

Kwa hiyo na Diamond kahamua kuweka jina lake kwenye plate number! Hata wewe ukitaka unakwenda kuwekea ilimradi ni kulipia TRA!

ni wewe tu unaejua mwaka huu lakini wakina chief kiumbe toka mwaka jana wanayo hayo ma plate number
 
Simpendelei yoyote ila Kiba atasubiri sana kwa Diamond.

Kiba akubali tu kuwa Hawezi kufikia kiwango cha Domo kwa leo labda akazane sana.

ki muziki au kifedha?

nauza nyanya na nina hela sana kuliko hao
 

Huyu mziray sasa hivi chali Maskini ya Mungu
 
Wanakaa banda la uani mwananyamala kule kwenye gorofa la mbezi beach wamekimbia kodi.

Kama ni hivyo kweli maisha noma sana.
Bora wafanye mpango warudi zao USA maana ukianguka kupanda ngumu na hivi waliingia jijini kwa kasi najua kuna wengi wanawacheka.
 
Ndo tz yetu hii when u speak truth unaitwa mtu mwenye roho mbaya, WIZKID,DR CHAMELEONE,JAGUAR,SALIF KEITA,DON JAZZY,PREZZO,D BANJ,YOUSSOU NDOR the list goes on hakuna yeyote kati yao aliyethubutu kujiita Dangote itakuwa huyu motto wa juzi kwenye game ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu:angry:
 

Wengi hawapendi ukwweli hata kama ni ushauri unabatizwa jina la hater wakushaurio ndo wakutakiao mema mtu anaye kusifia hata ukiwa wrong huyo mbaya hakutakii mema kabisa
 
Alafu ukute anaish nyumba ya kupanga

Yeah! Anaishi nyumba ya kupanga Sinza, nyumba ndogo tu ya vyumba vitatu na maegesho ya gari moja.
Kwenye suala la makazi dogo hayuko vizuri, sio kama kwenye mavazi.
Nilikuwa pale kwenye sherehe ya mama yake, dogo hayuko vizuri nyumbani.
Ila nimesikia anajenga nyumba ya kisasa, nadhani ndo amewekeza huko.
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…