Mbwembwe za Makonda na Hatma ya Rais Samia

CCM inafanya watu ni wajinga sana, yaani kiongozi anatumia umaskini wa watu kuwalagai Yaani anashuka kwenye v8 na kupanda ngamia au boda boda, guta, au lori ili afanane nao,? anajidai ni mtu wa kawaida sana yaani ni ujinga mtupu kwasababu baada ya hizo movies zake atarudi kwenye misafara yake amabayo imejaa v8 za kutosha.
 
AM

MAKONDA NI ASSET KUBWA SANA KWA SIASA ZA BONGO WE ANGALIA TU SASAHIVI WAPINZANI WAMEPIGWA GANZI WAMEKOSA MANENO YA KUONGEA NA UCHAGUZI NI MWAKANI UNATEGEMEA WAPINZANI WATAWADANGANYA NINI TENA WANANCHI UONGO WAO UMEFIKA MWISHO CHINI YA MAKONDA
Hakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tu ...pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgema akisifiwa............

Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine

Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda tunaanza kuziona kwenye uchaguzi wa 2024 serikali za mitaa.

Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya Paul Makonda ambayo ni kutumia vibaya madaraka kila mara anapopewa.Mara nyingi unaposikia anafanya matukio fulani ya tofauti basi ujue kabisa kwamba kuna tukio lingine ambalo linaendelea chini ya kapeti

Sasa sitaki kusema mengi ila Najua kwenye korido za Lumumba,korido za Magogoni na pia katika korido za ofisi nyingine nyeti Faili tayari limechukuliwa na msomaji sasa yuko ukurasa wa nne

Swali ambao wanajiuliza ni JE,huyu bwana ni Asset ama ni Liability?Na Je Kamba yake nani ambaye ameishika na anayeiongoza.

Najua humu jukwaani kuna wanaojua zaidi kuliko wengine so tujibe hapa kwa comment fupi fupi.Je Nani ambaye anammudu Makonda ndani ama nje ya CCM?Je Makonda ni Asset au ni Liability ndani ya CCM na Mwisho je atumbuliwe Faster au awe Decommissioned kabisa?
Makonda ana majukumu manne katika kipindi kati ya 2024 - 25 ambayo ni,
a. Kurudisha tumaini la watu kwa CCM hasa kutoka kanda ya ziwa kutokana na aina ya siasa wanazozipenda za ki Magufuli za kupenda kusikia viongozi na watumishi wa umma wakiitwa wakifokewa, na pia kupewa maagizo hadharani.

b. Kutoa watu katika "attention" ya madudu yaliyofanywa na serikali kutokana na mikataba mibovu waliyokwisha kuingia kama vile IGA na DP World, Loliondo, n.k.

c. Tishio la ugumu wa maisha ambao umetamalaki kwa watu wengi hasa kwa wale wenye kipato cha chini, na kuendelea kupanuka "gap" kwa kasi kati ya "minority," ya wenye nacho na "majority" ya wasiokuwa nacho.

d. Kawasahulisha makundi ya vijana kuhusu ugumu wao wa maisha, na kuwajaza matumaini hewa kuhusu kumwaga kwa ajira nyingi kwao katika siku za hivi karibuni.
 
Mgema akisifiwa............

Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine

Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda tunaanza kuziona kwenye uchaguzi wa 2024 serikali za mitaa.

Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya Paul Makonda ambayo ni kutumia vibaya madaraka kila mara anapopewa.Mara nyingi unaposikia anafanya matukio fulani ya tofauti basi ujue kabisa kwamba kuna tukio lingine ambalo linaendelea chini ya kapeti

Sasa sitaki kusema mengi ila Najua kwenye korido za Lumumba,korido za Magogoni na pia katika korido za ofisi nyingine nyeti Faili tayari limechukuliwa na msomaji sasa yuko ukurasa wa nne

Swali ambao wanajiuliza ni JE,huyu bwana ni Asset ama ni Liability?Na Je Kamba yake nani ambaye ameishika na anayeiongoza.

Najua humu jukwaani kuna wanaojua zaidi kuliko wengine so tujibe hapa kwa comment fupi fupi.Je Nani ambaye anammudu Makonda ndani ama nje ya CCM?Je Makonda ni Asset au ni Liability ndani ya CCM na Mwisho je atumbuliwe Faster au awe Decommissioned kabisa?
Hawezi tumbuliwa kamwe kwa sababu ni silaha ya Kikwete.
 
kama CCM wenyewe wamemuamini wakampa madaraka, fedha na jukwaa la kufanyia siasa. wewe CHADEMA inakuuma nini?
Muuaji aliemtandika Lisu marisasi ya kumuua anaachiwa huru na kupewa vyeo, hilo ndio linalotuuma, hawamwanzishii kesi sijui wanataka tuchukue maamuzi yetu kama tunavyowafanyia vibaka mitaani,!
 
AM

MAKONDA NI ASSET KUBWA SANA KWA SIASA ZA BONGO WE ANGALIA TU SASAHIVI WAPINZANI WAMEPIGWA GANZI WAMEKOSA MANENO YA KUONGEA NA UCHAGUZI NI MWAKANI UNATEGEMEA WAPINZANI WATAWADANGANYA NINI TENA WANANCHI UONGO WAO UMEFIKA MWISHO CHINI YA MAKONDA
Wapinzani wapigwe ganzi na huyo muhalifu?!

Uchaguzi ni mwakani, kwani Tanzania Kuna uchaguzi au maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura? Kuwashinda wapinzani kwa njia halali ya kura hilo limeshashindikana. Tumebaki kushuhudia chaguzi za kipuuzi.
 
CCM inafanya watu ni wajinga sana, yaani kiongozi anatumia umaskini wa watu kuwalagai Yaani anashuka kwenye v8 na kupanda ngamia au boda boda, guta, au lori ili afanane nao,? anajidai ni mtu wa kawaida sana yaani ni ujinga mtupu kwasababu baada ya hizo movies zake atarudi kwenye misafara yake amabayo imejaa v8 za kutosha.
nashangaa watu hawalioni hili..inachefua balaa
 
kama CCM wenyewe wamemuamini wakampa madaraka, fedha na jukwaa la kufanyia siasa. wewe CHADEMA inakuuma nini?
Ni sahihi maana ccm ni chama Cha wahalifu, hivyo kumpa muhalifu nafasi ya kukisafisha chama Chao si ajabu.
 
Mgema akisifiwa............

Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine

Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda tunaanza kuziona kwenye uchaguzi wa 2024 serikali za mitaa.

Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya Paul Makonda ambayo ni kutumia vibaya madaraka kila mara anapopewa.Mara nyingi unaposikia anafanya matukio fulani ya tofauti basi ujue kabisa kwamba kuna tukio lingine ambalo linaendelea chini ya kapeti

Sasa sitaki kusema mengi ila Najua kwenye korido za Lumumba,korido za Magogoni na pia katika korido za ofisi nyingine nyeti Faili tayari limechukuliwa na msomaji sasa yuko ukurasa wa nne

Swali ambao wanajiuliza ni JE,huyu bwana ni Asset ama ni Liability?Na Je Kamba yake nani ambaye ameishika na anayeiongoza.

Najua humu jukwaani kuna wanaojua zaidi kuliko wengine so tujibe hapa kwa comment fupi fupi.Je Nani ambaye anammudu Makonda ndani ama nje ya CCM?Je Makonda ni Asset au ni Liability ndani ya CCM na Mwisho je atumbuliwe Faster au awe Decommissioned kabisa?
We ndio hujaelewa!

Makonda ni Naibu Rais anaempigania Rais kamili !!

Ina maana uchaguzi ujao utasimamiwa na makonda akimpigania Rais!

Huelewi nini sasa!!?ushindi wa kishindo Tena wa kuchora mezani kabla ya uchaguzi wenyewe!
 
Kifupi ulimi wa mama ukitaka kuattack mtu MWANZA anatanua mdomo.
 
Mgema akisifiwa............

Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine

Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda tunaanza kuziona kwenye uchaguzi wa 2024 serikali za mitaa.

Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya Paul Makonda ambayo ni kutumia vibaya madaraka kila mara anapopewa.Mara nyingi unaposikia anafanya matukio fulani ya tofauti basi ujue kabisa kwamba kuna tukio lingine ambalo linaendelea chini ya kapeti

Sasa sitaki kusema mengi ila Najua kwenye korido za Lumumba,korido za Magogoni na pia katika korido za ofisi nyingine nyeti Faili tayari limechukuliwa na msomaji sasa yuko ukurasa wa nne

Swali ambao wanajiuliza ni JE,huyu bwana ni Asset ama ni Liability?Na Je Kamba yake nani ambaye ameishika na anayeiongoza.

Najua humu jukwaani kuna wanaojua zaidi kuliko wengine so tujibe hapa kwa comment fupi fupi.Je Nani ambaye anammudu Makonda ndani ama nje ya CCM?Je Makonda ni Asset au ni Liability ndani ya CCM na Mwisho je atumbuliwe Faster au awe Decommissioned kabisa?
Mbona Kigogo alishaeleza kila kitu kuhusa Bashite na Sa100; hata ushahidi wa picha upo😎
 
Back
Top Bottom