Mbwembwe za Makonda na Hatma ya Rais Samia

CCM inafanya watu ni wajinga sana, yaani kiongozi anatumia umaskini wa watu kuwalagai Yaani anashuka kwenye v8 na kupanda ngamia au boda boda, guta, au lori ili afanane nao,? anajidai ni mtu wa kawaida sana yaani ni ujinga mtupu kwasababu baada ya hizo movies zake atarudi kwenye misafara yake amabayo imejaa v8 za kutosha.
 
AM

MAKONDA NI ASSET KUBWA SANA KWA SIASA ZA BONGO WE ANGALIA TU SASAHIVI WAPINZANI WAMEPIGWA GANZI WAMEKOSA MANENO YA KUONGEA NA UCHAGUZI NI MWAKANI UNATEGEMEA WAPINZANI WATAWADANGANYA NINI TENA WANANCHI UONGO WAO UMEFIKA MWISHO CHINI YA MAKONDA
Hakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tu ...pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda ana majukumu manne katika kipindi kati ya 2024 - 25 ambayo ni,
a. Kurudisha tumaini la watu kwa CCM hasa kutoka kanda ya ziwa kutokana na aina ya siasa wanazozipenda za ki Magufuli za kupenda kusikia viongozi na watumishi wa umma wakiitwa wakifokewa, na pia kupewa maagizo hadharani.

b. Kutoa watu katika "attention" ya madudu yaliyofanywa na serikali kutokana na mikataba mibovu waliyokwisha kuingia kama vile IGA na DP World, Loliondo, n.k.

c. Tishio la ugumu wa maisha ambao umetamalaki kwa watu wengi hasa kwa wale wenye kipato cha chini, na kuendelea kupanuka "gap" kwa kasi kati ya "minority," ya wenye nacho na "majority" ya wasiokuwa nacho.

d. Kawasahulisha makundi ya vijana kuhusu ugumu wao wa maisha, na kuwajaza matumaini hewa kuhusu kumwaga kwa ajira nyingi kwao katika siku za hivi karibuni.
 
Hawezi tumbuliwa kamwe kwa sababu ni silaha ya Kikwete.
 
kama CCM wenyewe wamemuamini wakampa madaraka, fedha na jukwaa la kufanyia siasa. wewe CHADEMA inakuuma nini?
Muuaji aliemtandika Lisu marisasi ya kumuua anaachiwa huru na kupewa vyeo, hilo ndio linalotuuma, hawamwanzishii kesi sijui wanataka tuchukue maamuzi yetu kama tunavyowafanyia vibaka mitaani,!
 
AM

MAKONDA NI ASSET KUBWA SANA KWA SIASA ZA BONGO WE ANGALIA TU SASAHIVI WAPINZANI WAMEPIGWA GANZI WAMEKOSA MANENO YA KUONGEA NA UCHAGUZI NI MWAKANI UNATEGEMEA WAPINZANI WATAWADANGANYA NINI TENA WANANCHI UONGO WAO UMEFIKA MWISHO CHINI YA MAKONDA
Wapinzani wapigwe ganzi na huyo muhalifu?!

Uchaguzi ni mwakani, kwani Tanzania Kuna uchaguzi au maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura? Kuwashinda wapinzani kwa njia halali ya kura hilo limeshashindikana. Tumebaki kushuhudia chaguzi za kipuuzi.
 
nashangaa watu hawalioni hili..inachefua balaa
 
kama CCM wenyewe wamemuamini wakampa madaraka, fedha na jukwaa la kufanyia siasa. wewe CHADEMA inakuuma nini?
Ni sahihi maana ccm ni chama Cha wahalifu, hivyo kumpa muhalifu nafasi ya kukisafisha chama Chao si ajabu.
 
We ndio hujaelewa!

Makonda ni Naibu Rais anaempigania Rais kamili !!

Ina maana uchaguzi ujao utasimamiwa na makonda akimpigania Rais!

Huelewi nini sasa!!?ushindi wa kishindo Tena wa kuchora mezani kabla ya uchaguzi wenyewe!
 
Issue sio unachokijua au ambacho tunajua?Kile ambacho hatukijui au tunafikiri tuajua kumbe hatujui ndio issue
Wacha nahau wewe kuwa muwazi tuelewe siye vilaza wapiga kura.
 
We ndio hujaelewa!

Makonda ni Naibu Rais anaempigania Rais kamili !!

Ina maana uchaguzi ujao utasimamiwa na makonda akimpigania Rais!

Huelewi nini sasa!!?ushindi wa kishindo Tena wa kuchora mezani kabla ya uchaguzi wenyewe!
Kifupi ulimi wa mama ukitaka kuattack mtu MWANZA anatanua mdomo.
 
Mbona Kigogo alishaeleza kila kitu kuhusa Bashite na Sa100; hata ushahidi wa picha upo😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…