tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Kwa muda sasa nimefatilia nyimbo za huyu msanii...nachelea kusema huwa namkubali sana katika uhandishi na vionjo vyake!!
Leo nimebahatika kuona video na nimepata audio yake...kiufupi video ni nzuri kulinganisha na video zake za mwanzo, ila hii audio kachemka siyo siri...huwezi kabisa ukaiweka kwenye mzani na "lala salama" au "ukimuona" achilia mbali "kesho"...
Nilichofanya baada ya kuisikiliza ni kuifutilia mbali, na kama ataendelea hivi basi hana safari ndefu kimuziki!!
haters mnakaz ngumu kwa kweli
Lazima beki 3 amtetee bosi.
haters mnakaz ngumu kwa kweli
Afadhali beki 3, huyu poyoyo ni nyumba ndogo
we mpambe wa diamond acha kujaza server nq upuuzi wako...mwambie boss wako ajipange....
number one haiwezi shindana na hits za sasa kama...
*Bila kukunja goti-MwanaFa
*Kimugina-Linex
*Tupogo-Ommy Dimpoz
*I love u-Kassim
*Kama huwezi-Rama D
Bora na nyinyi kama
mmeliona,hii track haitagusa hata chati za juu,labda acheze na pesa na
madj wetu lakini haijabamba hata kidogo,
take it from me..
my number one will rule radio air waves for the rest of the year.!?
HATERS KALENI MBILIMBI
.Kwa muda sasa nimefatilia nyimbo za huyu msanii...nachelea kusema huwa namkubali sana katika uhandishi na vionjo vyake!!
Leo nimebahatika kuona video na nimepata audio yake...kiufupi video ni nzuri kulinganisha na video zake za mwanzo, ila hii audio kachemka siyo siri...huwezi kabisa ukaiweka kwenye mzani na "lala salama" au "ukimuona" achilia mbali "kesho"...
...Nilichofanya baada ya kuisikiliza ni kuifutilia mbali, na kama ataendelea hivi basi hana safari ndefu kimuziki!!
take it from me..
my number one will rule radio air waves for the rest of the year.!?
HATERS KALENI MBILIMBI
Hata mseme mpige marimba
Mwenzenu ndo keshatoka
Katoka tu.
.
umetumia vigezo ganii kusema amechemka????umesomea mziki??au huwa unapenda midundo tu......anyway napita tu....................