tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Kwa muda sasa nimefatilia nyimbo za huyu msanii...nachelea kusema huwa namkubali sana katika uhandishi na vionjo vyake!!
Leo nimebahatika kuona video na nimepata audio yake...kiufupi video ni nzuri kulinganisha na video zake za mwanzo, ila hii audio kachemka siyo siri...huwezi kabisa ukaiweka kwenye mzani na "lala salama" au "ukimuona" achilia mbali "kesho"...
Nilichofanya baada ya kuisikiliza ni kuifutilia mbali, na kama ataendelea hivi basi hana safari ndefu kimuziki!!