Mbwembwe zote za Diamond na Number one ...kumbe hakuna kitu!!

Tuone na vyenu pia;
siyo kuisakama sukari ya akina mama namna hiyo, alaaa!![

QUOTE=tindikalikali;7233990]tumechagua kuwa mashabiki..au ulitaka na mimi nitoke kimuziki? Ukosoaji upo kila mahali duniani...hamuwezi kuuzuia!!
[/QUOTE]

vyetu vipi?
 

Huo ni upenzi sio sifa ya wimbo kuna watu Diamond akijamba wanaandika jamani shuzi langu!, fb ni ya wajinga kama ww.
 
Kweli tupu jamani, bonge la video but wimbo mbovu kwa standards za naseeb

The truth shall set u free.
 
wadau tuache unafiki, tuwe wakweli, hiyo itasaidia kuwaweka wasanii wetu juu na hatimaye kuweza kupapasa ktk level za kimataifa,, NAANDIKA NIKIWA KAMA SHABIKI WA DIAMOND , JAMANI DIAMOND KUFANYA VIDEO KALI KAMA HII WITH THIS AUDIO KAJICHANGANYA, AUDIO NI MBAYAAAA,
HAIWEZI KUKAMATA CHATI MBELE YA NYIMBO KAMA ALIZOTAJA MDAU HAPO JUU LABDA ATOE HONGO KWA MA DJ
 
ona hili nalo alokuambia hizo ni coments za fb nani? youtube hiyo mav wewe

usipanic dogo...watu humu wanasimamia ukweli. Ebu jaribu kufatilia comments toka mwanzo kama kuna mtu ameisupport hiyo audio...sasa wewe unaendeshwa tu kama msukule!!
 
bonge la VIDEO..

AUDIO mbaya sana..

AUDIO BORA KAWA SASA BONGO NI:-

1.I LOVE YOU-CASSIM

2.KAMA HUWEZI-RAMA DEE

3.QUICK ROCKA-MY BABY
 

Well said..
 
bonge la VIDEO..

AUDIO mbaya sana..

AUDIO BORA KAWA SASA BONGO NI:-

1.I LOVE YOU-CASSIM

2.KAMA HUWEZI-RAMA DEE

3.QUICK ROCKA-MY BABY

umenena mkuu..my baby mpaka video ni kali licha ya Ngwea kukosekana!!
 
video kafanya poa ila kwa upande wa audio mmhh tuongee ukweli bila chuki wala majungu haiko poa audio
 
wabongo bhana.! Stop hating..
Dogo anajitahidi sana, tunapaswa tuwapongeze hawa vijana wanaojitahidi kutengeneza video bora kama hizi....
From my heart hongera sana AY..
hongera sana Platinumz..
Onyesheni njia as always

Soma vzuri mkuu watu hawaikosoi video, ni audio ndo imekaa kushoto..
 
To me that track z international one na utaipenda tu hata ww kama uliipenda kesho ambayo ni ya kawaida itauw hii ngororo aaaah *2.......
 
sifa akapewe na redio ya watu,hapa tunasema ukweli tu...
 
hata video ni ya kawaida sana,naona kapigwa 50m ya bure,audio haina mvuto,verse ni za kwd sana,hata mm baada ya kuidownload kupitia hulkshare nikaidilit baada ya kuiskiliza sikuwa na hamu ya kurudia kuisikiliza.Ujipange tena No.1 haiwez kukaa meza moja na Tupogo ya Dimpoz
 
Mimi napata doubt juu ya wale wanaosema Diamond kaiba hui wimbo. Nomesoma kwenye Facebook kuwa Baba Levo nae analalamika kaibiwa hui wimbo na Diamond hususani kipande cha chorus(kiitikio). Sasa sijui tatizo lipo wapi?
 

watanzania kwa wivu mlishagashindikana .....nani keshafanya video kama hiyo?or ubora wa video unahusisha vitu gan haswa?hebu ingia youtube uonne coments za watu wa nchi zingine wanaiongeleaje hiyo video..yani hapa kisa tu ni diamond mana weng mna wivu na mafanikio ya huyu mtu.
 

TAZAMA HII STATUS YA YOUTUBE NDO UJUE MAHATERS MKO WACHACHE(400likes!!kwa 30 dislikes? na ni siku ya 3 pekee)
Diamond Platnumz -
Number One (Official
Music Video HD 1080p)
2:57 486 likes, 30
dislikes
by Diamond Platnumz
69,660 views
Post a comment
Happyness Epimark (8 hours ago)
Nice one
Aden Kessy (9 hours ago)
Hii Video Imetulia Big Up
Platinumz...
Moses Keya (9 hours ago)
George Phillip, Ogopa DJ's ni
production house ya Kenya. Ama
sivyo?
Babuu Shilla (9 hours ago)
Diamond u r ma # 1 in Tanzania, I
really appreciate u,acha wenye viroho
vya korosho waseme like@Michael
Ngusa.Diamomond will always
shine!!!!!!Keep it up ma man
hassan bakar (9 hours ago)
cna cha kusema c0z ww n mkal
udobamrisho alex (10 hours ago)
siku zote huwa nasema we uko
juu,nice one diamond
George Phillip (11 hours ago)
Bado nawasubiri Wakenya waseme
nyimbo yao! Mnatukera yaani kila kitu
kizuri mwasema chenu pumbaaav nyie
lisally09 (11 hours ago)
Diamond kimbiza Bovu hii song n
video yake. Big up xanaa...
hadija tittus (11 hours ago)
kijana yupo juuuuuuuuuuuuuuuu,
anaweza kwakweli
wales pamba (12 hours ago)
Yaaaa katisha kijana
« Previous - Next page »
 

Nachokiona mimi ni wimbo mmoja ambao umepata views nyingi you tube kwa muda mfupi kuliko nyimbo zote east africa,na ni wimbo ambao soon utakuwa unapigwa saana kwenye kila harus unayohudhuria,mwisho wa majungu haya tufanye yetu sasa dogo anafanya yake.oooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…