Mbwembwe zote za Diamond na Number one ...kumbe hakuna kitu!!

wabongo bhana.! Stop hating..
Dogo anajitahidi sana, tunapaswa tuwapongeze hawa vijana wanaojitahidi kutengeneza video bora kama hizi....
From my heart hongera sana AY..
hongera sana Platinumz..
Onyesheni njia as always

Umekurupuka kuchangia uzi huu,umeambiwa video ni nzuri but Audio dogo kaharibu,mmekomaa kusema ni CHUKI!
Hivi kuzungumza ukweli ni Chuki?

Huu wimbo ukikamata chati za juu nchini ni ndoto labda asambaze mlungula bhaaaaaasi.
 
Acheni kutoa sifa za kijinga...penye uzuri tunapongeza penye ubaya tunasema...AUDIO MBAAYAAAA.....na siku zote usitegemee kusifiwa kubali kukosolewa ili uzidi kuboresha..na mwenyewe alijua ndo maana kakimbilia kutoa video kabla ya audio....
Mbona mawazo...moyo wangu...na zingine tulizikubali sana...huu kaharibu akabali..mgema akisifiwa tembo ulitia maji...I guess kashalewa sifa za watu km@heaven on desert na@bold ambao ht ukijinyea wanakusifia
 

Anaeamua huu wimbo ni mzur au laah ni sikio la msikilizaji mwenyewe,binafsi sikio langu limeuelewa huu wimbo na kuupenda,ni sikio hilo hilo ambalo halikupenda baadhi ya nyimbo za Diamond zilizopita .so inategemea na msikilizaji mwenyewe na hakuna jibu la jumla kuwa wimbo ni mbaya au mzuri
 

NISAIDIE KUWAAMBIA.WATANZANIA WANACHUKI SANA,nimetizama youtube saiv siku ya 3 tu video ina viewers 79000 hapo ni kwenye acount yake pekee ..haijawai tokea kwa east africa...ukiangalia hata tofauti ya like na dislikes haters n wachache,500 kwa 32??????
 
huyu mtoto nashauri wanaomchukia waanze kumpenda!ana miaka mingi sana ya kusumbua hapa mjini...anachonifurahisha zaidi anaiogopa sana njaa kwahiyo wanaotegemea dogo aanguke waanze kumcheka watasubiri sana ni heri muda wanaotumia kumchukia wautumie kusaka maendeleo yao binafsi kwani naseeb ni diamond kweli
 

mbona akili zako zinawaza chuki tu? Nani kakwambia hatutafuti maendeleo binafsi...yeye kaamua kuwa msanii..akifanya vizuri atasifiwa na akiboronga bado ataambiwa!! Sasa huu wimbo wa chuki sijui nani kawakaririsha?
 

sasa hao viewer wanamaanisha kwamba audio ni nzuri...si baada ya kuona/kusikiliza ndipo judgement inafanyika....wasanii wangapi wameharibu video/audio na wamekosolewa? Hili la mumeo diamond ndo liwe nongwa? Chukulia hii kama changamoto...usifanye majumuhisho kienyeji et Watanzania wa chuki!!
 

Usiwe mvivu kufikiri wewe, tambua kuwa kupata views nyingi sio kama wimbo ni mzuri, watu wame view ili wickize cz walikuwa hawajapata chance ya kuichek. So kabla huja comment fikiri kwanza na sio unakurupuka kama umetoka ucngizini..
 
Usiwe mvivu kufikiri wewe, tambua kuwa kupata views nyingi sio kama wimbo ni mzuri, watu wame view ili wickize cz walikuwa hawajapata chance ya kuichek. So kabla huja comment fikiri kwanza na sio unakurupuka kama umetoka ucngizini..

umesoma na coments za hao walioitizama video ?watu maskin huwa wana wivu sana kwa waliowazd
 
Usiwe mvivu kufikiri wewe, tambua kuwa kupata views nyingi sio kama wimbo ni mzuri, watu wame view ili wickize cz walikuwa hawajapata chance ya kuichek. So kabla huja comment fikiri kwanza na sio unakurupuka kama umetoka ucngizini..

Bwana Sudy mlela,sikukurupuka bwana,niliangalia na likes na comments pia,likes ni nyingi kuliko dislikes na comment za kupenda wimbo ni nyingi zaid ,japo ni ukweli kuwa kuna comments chache zinazoponda audio,na pia dislikes chache,bt kutembelea kwangu you tube kote cjawah kuona video yenye viewer wengi kama vile na zaid afu ikose dislike hata 1.
 

tell them
 
tell them

The only issue na kikwazo kwa huo wimbo ni habar kuwa umeibwa kwa msanii Dyana coz kama ni kweli it will be very bad kwa career ya Dogo .i cant imagne investing abt 50M Kwa project ambayo inaingia kimeo kama hivyo. Bt otherwise ngoma ni kali na inaweza fika mbali
 

Dayna anadai kachukuliwa beat yake na si wimbo..kumbuka beat ile ni mari ya producer ambapo awali dayna aktaa..diamond akaipenda alipoukizwa dayna na producer khsu diamond kutaka kuitumia akasema hana tatizo so analalama nn
 
mkuu unatumia nguvu nyingi sana kuonyesha chuki!diamond huu ni wakati wake

chuki maana yake nini? Hakuna maslahi yangu yeyote yanayoweza kuingiliwa na Diamond!! Sijaanza leo kusikiliza huu muziki na sijakataa kwamba ni wakati wake...wangapi wamekuja na kuondoka? Ni suala la muda tu!!
 
Diamond kuna wimbo aliimba na Mrisho Mpoto ni noma... Hizi mingine hizi dah, haya bwana!!
 

50Mil (za shooting) jumlisha 70Mil (za uzinduzi)+mazagazaga, approx =130Mil.
 
umesoma na coments za hao walioitizama video ?watu maskin huwa wana wivu sana kwa waliowazd
kwa sababu unatoka kwenye ukoo wa kimasikini basi unahisi kila mtu ni masikini.na umasikini wako wa fikra unakufanya uone kila akosoaye ni mwivu.kwani lazima kila mtu apende kila kitu.
 
kiukweli mdau tindikali uko right sana ile nyimbo si nzuri jamaa kapoteza mamilioni kufanya video...beat ya nyimbo ni nyepesi haikuhitaji gharama hizo kufanya video!!! bora hata angeifanyia nyimbo yake ya ukimuona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…