Mbwembwe zote za Diamond na Number one ...kumbe hakuna kitu!!

ni kweli unachokisema pinno uzuri wa kitu ni kwa mtu husika, ila kuna world view...hapa tunaangalia uwiano wa kupendwa kwa kitu kutokana na idadi ya watu na ndiyo maana kuna baadhi ya vitu vinatajwa kuwa vizuri kutokana na kukubalika katika macho ya watu wengi, masikio na hata akili pia!!!
 
dogo yupo juu sana haterz mtasuffer sana
 

Attachments

  • numz.jpg
    3 KB · Views: 775
Na hii style yake ya ngololo kila nikianagalia naiona azonto tu ya wa naija au mimacho yangu ovyo?
 
Na hii style yake ya ngololo kila nikianagalia naiona azonto tu ya wa naija au mimacho yangu ovyo?

Uko sahihi mkuu 124 Ali yaani dogo hajafanya kitu zaidi ya hivi
1. CTRL+C kisha
2. CTRL+V
 
Last edited by a moderator:
Tehe tehe: yaani ctrl+ v+c tehetehe. Wimbo ule kiukweli hauna sifa hiyo kama ilivyosemwa hapo kabla. Ukiondoa video ambayo kigeni pale ni gari na ile ndege pamoja na mandhari nzuri ya zile barabara, kimaudhui hasa Audio haiwez kuifikia nyimbo yake Diamond mwenyew uitwao Nitarejea
 

...Mkuu Heaven, Unisamehe.
Kwa nini Unapenda sana kutumia neno Chuki?
Kwa nini mtu akiwa na mawazo tofauti na wewe katika issue fulani ni Chuki?
Umekulia katika Mazingira ya Chuki chuki??
Kwani wewe Ukisema 'No 1' ni Nzuri na Mwingine akasema si Nzuri tatizo ni Nini?
Kwani nini kila anayesema wimbo sio mzuri ni lazima iwe ni Chuki dhidi ya Diamond?
Kwa nini Usiheshimu tu Sikio lake kwamba halikuusikia kuwa Wimbo ni Mzuri na ana HAKI ya kusema hivyo??
Kama wewe/Diamond mnafurahi watu wanaposema 'Mawazo' ni Bonge la Wimbo, kwa nini uteme Cheche pale baadhi ya wapenzi wenu hao hao wanaposenma 'No 1' sio Mzuri kihiivyo??
Ina maana Mashabiki wenu wana HAKI ya kusifu tu nyimbo zenu lakini hawana haki ya kuchagua kuzipenda ama la??
Unapotumia kigezo cha walioingia Youtube la Ushahidi wa jinsi wimbo huo Ulivyobamba, vipi kuhusu wale malaki ya wapenzi wa Diamond ambao hawajui ya Youtube ni kitu gani???

Ni jambo jema kumtetea Diamond pale inapobidi lakini ni jambo jema zaidi kuacha kugombana na wale wapenzi wanaomkosoa pale inapobidi!

Lakini pengine jambo kubwa Zaidi: Kama Una mashabiki 500 ambao wame-like 'No 1' kwenye Youtube na ukachukulia kama huo ni Ushahidi wa Wimbo huo kupendwa, kwa nini unahangaika na kutoka jasho kupigishana kelele na hawa wachache unaowaona ni haters?

Je huoni kwamba inaleta picha kuwa there must be some Truth in what they are saying after all, Mkuu??:
Leave Them Be.
The Beauty of a Song is in the EARS of the Listener, Mkuu! Dont You think So?


πŸ™‚
 
tumechagua kuwa mashabiki..au ulitaka na mimi nitoke kimuziki? Ukosoaji upo kila mahali duniani...hamuwezi kuuzuia!!

-------- inatakiwa aachwe na upumbavu wake, apo mko na pumbu zenu tu hamna ata kumi mnakaa ku hate kifalafala tu, kijana yuko juu na anazidi kumake headlines na ataendelea kua hivyo, mabwege mnakaa na vijikundi vyenu ata muandike nn kama ndio inabaki kuwa ndio tu mtabaki vichwa chini mambwiga nyie
 
Kwa huu mtindo wa hawa wasanii wa bongo kutapatapa kuiga mara wanigeria mara wasauzi mara wakongo, tutawachoka sasa hivi hata wakivunja tunguli.sijui kwa nini kina Joti wanawaacha siku hizi kwenye ile kucopy na kupaste,
 
Hongera diamond kelele za mlango zisikunyime usingizi......mti Wenye matunda ndio utupiwao mawe
 

mapovu ya nini? Hapo kwenye red inaonekana umeanza kufatilia muziki juzi tu...na umasikini wa fikra ndiyo unaokumaliza.
 
Baba desi mbona unampa elimu ya bure huyu diamond die hard? hakuelewi hata kidogo hajui maana ya wadau wa kweli wa muziki,hajui kuwa mijasho yote inayomtoka mwanamuziki ni kumfanya mpenzi wa muziki afurahi ,nasisitiza "mpenzi wa muziki si wa mwanamuziki"
Mfano mimi binafsi sipendi tabia ya wacko jacko lakini nina hodhi asilimia 90 ya nyimbo zake!
Siamini anachokiamini bob marley lakini huwezi kuniweka mbali na muziki wake ,mifano hii ina maana gani ?sipendi tabia mienendo ,hulka na silka za wanamuziki hawa lakini nazikubali kazi zao ,iweje sasa tulaazimishwe tuipende kazi fulani kwa ajili ni ya mtu na fulani kwa sababu watu fulani wanampenda? Afanye kaazi za ukweli watu watakubali sio hiyo azonto anayoipa jina la ngololo!
 



@ last some1 noticed!!! Big up for speaking ny mind
 

umempa elimu nzuri sana
..kama ana akili amekuelewa!!
 
mmmmmh..jamaniii mtu anaonyesha jitihada zake huku watu wngne wanamvunja moyo😑😑😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…