Mbwembwe zote za Diamond na Number one ...kumbe hakuna kitu!!

mimi nilihisi ni mimi tu nimeliona na kuna watu wengi niliwaambia kua bola angetengeneza video ya ile nyimbo yake ya ukimwona na sio hii hii nyimbo sio nzuri video nzuri sana.
 
hao wasanii wazushi mwenzao asitoe nyimbo na wao ndo hapo hapo wanataka kupata umaarufu wapuuzi tu hawana issue wala nini mbona wao hzo nyimbo zao haziwatoi wajipange
 

strategy nzuri ya promo...umejaribu
 
Kwanza kuna filamu ya kighana wameact wakina van vicker inaitwa passion of love kama sijakosea kuna sehemu van vicker alikuwa anamuimbia demu wake, dogo hajiongezi kabisa.
 
Kwanza kuna filamu ya kighana wameact wakina van vicker inaitwa passion of love kama sijakosea kuna sehemu van vicker alikuwa anamuimbia demu wake, dogo hajiongezi kabisa.

Cocacola jana 1/10/2013 walikuwa wanazindua program yao ya coke studio pale Kilimanjaro hyatt regency. Tv program inayoonesha maisha ya na nyimbo ambazo wasanii mbali mbali wa Africa wamefanya kwa kushirikiana.
Hapa nyumban wamemchukua Jide na Domo, na jana kwenye huo uzinduz ambao ulikuwa ni kwa waalikwa tu ,walionesha episode moja itakayo anza kuoneshwa ITV hivi soon.

Kikubwa ni kwamba jamaa wakamfanyia Diamond surprise ya birthday (kumbe jana ndo ilikuwa birthday yake) bonge la keki,na vyakula etc.afu mzee wa B band amekodishwa kumuimbia dogo happy birthday. Na wasanii wengine wapo pale wamealikwa.

Duh kweli hard work pays.Dogo anajituma sana,na nadhan bado ana muda mrefu sana wa kusumbua hapa mjini.yaani heshima anayopewa unaona LIVE kabisaa vile waasanii wengine wanavyoona vibaya na kujisikia kawivu kidogo. Wenye wivu wa maendelea wanachukua mazuri wanayafanya nao,wenye chuki binafsi wanabaki wanatoa majungu na hawafiki mbali.
 
Kwanza kuna filamu ya kighana wameact wakina van vicker inaitwa passion of love kama sijakosea kuna sehemu van vicker alikuwa anamuimbia demu wake, dogo hajiongezi kabisa.

enhee apo umeongea mkuu,,diamond amekopy ile sauti ya jamaa anamwimbia demu wake kwenye movie,,swetie swetie if u love me i will love u,,
 
Lets be realistic guys, unless Diamond sings in his vernaculars. .. kuna maneno gani ambayo akiimba hamtasema ka copy mahali? Kubalini dogo ana hit sababu ya struggle zake na sio sababu ya ku copy. Na kama ni ku copy hebu na ajitokeze yeyote a copy hata ni wimbo mzima wa msanii yeyote then tuone kama uta hit. Diamond ana connections nyingi za mkwanja, think of Coka Kola
Vodacom
Etc
 
Jaman Diamond kajitahidi sanaaa video nzuri, mnaoponda mna lenu wallah kwan wasanii wotee hua wanaimba nyimbo nzuri
Hata kama kaigaaa ndio usaniii huo banaa
 
Wimbo mzuri tu, ukienda disco ukiwekwa unachezeka fresh.
 
ila inasemekana huyo Dyna alimpatia jamaa huu wimbo kwa mikono ya mwenyewe aifanye..sio kaiba kapewa..hata dogo wachu d alikiri kapewa na dyna
:sad:
 

Timbulo kacopy nyimbo za x-maleya na kashine kijana,tatizo huku kwetu Tz mtu akipata tunaumia sana.Tunapenda apate matatizo na tuanze kumsema.
ila nao mashauzimyao mengi ndio yanawafanya mpaka watu wawaombee dua mbaya kila kukicha.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Acheni chuki binafsi na kudisi uwo wimbo umekubalika ile mbaya na nyie wenyewe ni shahidi kwa jinsi inavyobamba kitaa...yuko juu hakunaga
 
Critics zinampaisha Diamond mnoo. Haters pls msiache ku criticise. We real need ur criticism for this guy to shine more.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…