johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Kwa CCM utabakia tu kwenye jumuiya ukipewa kazi za kutumwatumwa siyo kuongoza wengine.Kwani anaekula nyumbani haruhusiwi kugpmbea? Sheria ya uchaguzi inasemaje?
Kweli bwana, na hivi katoa agizo wilaya nzima ya kwao hataki mtu nje ya ccm kupewa fomu.Anasubiri ushindi wa kisulisuli wa 99.9%
Mwaka 1995 Makongoro alikuwa anakaa nyumbani kwake pale mwananyamala komakoma jirani na Jambos bar kwa Prof Vulata.Makongoro aligombea Ubunge wa Arusha Mjini na kushinda 1995 akitokea Msasani kwa Baba yake
Makongoro Nyerere aligombea ubunge kwa ticketi ya NCCR- Mageuzi na akashinda hii imekaaje ? Tena baba yake aliwahi kuwa mwenyekiti wa CCM Taifa na rais mstaafu. Mtu akiwa over 18 ana maamuzi yakeSuala la kuibiwa kura hilo halina mjadala, hata kama wamemuweka huyo kula kulala lakini haimaanishi kuwa hawaibiwi kura.
Kwanza unajuaje labda yuko nyumbani kwaajili ya kuwahudumia wazazi wake? Usikute yeye ndiyo anawalisha wazazi wakeKwani anaekula nyumbani haruhusiwi kugpmbea? Sheria ya uchaguzi inasemaje?
Unakuwa na maamuzi yako kama unajilisha!Makongoro Nyerere aligombea ubunge kwa ticketi ya NCCR- Mageuzi na akashinda hii imekaaje ? Tena baba yake aliwahi kuwa mwenyekiti wa CCM Taifa na rais mstaafu. Mtu akiwa over 18 ana maamuzi yake
Unawezaje kumhudumia katibu wa chama tawala katika level yoyote ile?Kwanza unajuaje labda yuko nyumbani kwaajili ya kuwahudumia wazazi wake? Usikute yeye ndiyo anawalisha wazazi wake
mwelezee huyu ndezi chalaa ya chugaKwani akiwa mtoto wa katibu wa CCM hana maamuzi yake? we vipi? Arusha kata ya sakina mtaa wa melamari mwaka 2014 mama yuko ccm na kijana yuko chadema wote wakagombea uenyekiti mama akapigwa chini, Unadhani kila aishie kwao hana maamuzi? Au hana kipato? Hayo ni mawazo ya sie makabwela ambao tunakimbia nyumbani kwa sababu nyumba ndogo wazee wanakosa faragha zao mkuu.
Hahahaaa....... Mtaani kwa mzee Marando full bendera za Chadema!Network ya cdm sio ya kutafuta, labda useme TLP na UPDP lakini sio cdm. Kubali kataa lakini habari ndio hiyo.
Sema nasikia Chadema asili wameanza figisu anasubiriwa Mdee kuja kuweka mambo sawa!mwelezee huyu ndezi chalaa ya chuga
Yaani hapo Chadema ya hapo inakula na kulala Ccm.Suala la kuibiwa kura hilo halina mjadala, hata kama wamemuweka huyo kula kulala lakini haimaanishi kuwa hawaibiwi kura.
Ndio maana yake mkuu!Yaani hapo Chadema ya hapo inakula na kulala Ccm.
Yaani hapo Chadema ya hapo inakula na kulala Ccm.
70% ya viongozi wa ccm hawaungi mkono chama chao , bali wamo mle ili kuokoa roho zao tu .Wakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha.
Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake.
Kiukweli nyakati nyingine Chadema huwa wanaamua wenyewe washindwe halafu wanalalamika wameibiwa kura.
Maendeleo hayana vyama!
Hii picha ni my favorite[emoji23][emoji849][emoji16]70% ya viongozi wa ccm hawaungi mkono chama chao , bali wamo mle ili kuokoa roho zao tu .
View attachment 1251417
Karibu sana mkuuHii picha ni my favorite[emoji23][emoji849][emoji16]
Kwa CCM utabakia tu kwenye jumuiya ukipewa kazi za kutumwatumwa siyo kuongoza wengine.
Mtu unayekula kwa wazazi wako utawaongozaje watu wanaojilisha na kulisha familia zao?!
Tundolee upumbavu wako hapaWakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha.
Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake.
Kiukweli nyakati nyingine Chadema huwa wanaamua wenyewe washindwe halafu wanalalamika wameibiwa kura.
Maendeleo hayana vyama!
CCM kumejaa mataahira! Ona eti hii nayo ni hoja? Ama kweli, nantombe nokho nashik'aha?Kwa CCM utabakia tu kwenye jumuiya ukipewa kazi za kutumwatumwa siyo kuongoza wengine.
Mtu unayekula kwa wazazi wako utawaongozaje watu wanaojilisha na kulisha familia zao?!