Mbweni: Chadema yamsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM wa mtaa huo anayeishi kwa baba yake kugombea uenyekiti serikali ya mtaa

Mbweni: Chadema yamsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM wa mtaa huo anayeishi kwa baba yake kugombea uenyekiti serikali ya mtaa

Kwani anaekula nyumbani haruhusiwi kugpmbea? Sheria ya uchaguzi inasemaje?
Kwa CCM utabakia tu kwenye jumuiya ukipewa kazi za kutumwatumwa siyo kuongoza wengine.

Mtu unayekula kwa wazazi wako utawaongozaje watu wanaojilisha na kulisha familia zao?!
 
Anasubiri ushindi wa kisulisuli wa 99.9%
Kweli bwana, na hivi katoa agizo wilaya nzima ya kwao hataki mtu nje ya ccm kupewa fomu.
Anajuwa ukitumia haki hata kwao haambulii kura. Hakubaliki hata kwao MTU gani huyu? Pamoja na kuweka traffic lights watu ni NO!
 
Makongoro aligombea Ubunge wa Arusha Mjini na kushinda 1995 akitokea Msasani kwa Baba yake
Mwaka 1995 Makongoro alikuwa anakaa nyumbani kwake pale mwananyamala komakoma jirani na Jambos bar kwa Prof Vulata.

Kadhalika alikuwa na nyumba Arusha alikoshinda ubunge.

Hata Le mutuz alipogombea ubunge wa Afrika mashariki alikuwa ameshahama kwao upanga na kukodi uswahilini!
 
Suala la kuibiwa kura hilo halina mjadala, hata kama wamemuweka huyo kula kulala lakini haimaanishi kuwa hawaibiwi kura.
Makongoro Nyerere aligombea ubunge kwa ticketi ya NCCR- Mageuzi na akashinda hii imekaaje ? Tena baba yake aliwahi kuwa mwenyekiti wa CCM Taifa na rais mstaafu. Mtu akiwa over 18 ana maamuzi yake
 
Makongoro Nyerere aligombea ubunge kwa ticketi ya NCCR- Mageuzi na akashinda hii imekaaje ? Tena baba yake aliwahi kuwa mwenyekiti wa CCM Taifa na rais mstaafu. Mtu akiwa over 18 ana maamuzi yake
Unakuwa na maamuzi yako kama unajilisha!
 
Kwanza unajuaje labda yuko nyumbani kwaajili ya kuwahudumia wazazi wake? Usikute yeye ndiyo anawalisha wazazi wake
Unawezaje kumhudumia katibu wa chama tawala katika level yoyote ile?

Acheni utani bhana!
 
Kwani akiwa mtoto wa katibu wa CCM hana maamuzi yake? we vipi? Arusha kata ya sakina mtaa wa melamari mwaka 2014 mama yuko ccm na kijana yuko chadema wote wakagombea uenyekiti mama akapigwa chini, Unadhani kila aishie kwao hana maamuzi? Au hana kipato? Hayo ni mawazo ya sie makabwela ambao tunakimbia nyumbani kwa sababu nyumba ndogo wazee wanakosa faragha zao mkuu.
mwelezee huyu ndezi chalaa ya chuga
 
Network ya cdm sio ya kutafuta, labda useme TLP na UPDP lakini sio cdm. Kubali kataa lakini habari ndio hiyo.
Hahahaaa....... Mtaani kwa mzee Marando full bendera za Chadema!

Naona anajipigania kivyake.
 
Wakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha.

Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake.

Kiukweli nyakati nyingine Chadema huwa wanaamua wenyewe washindwe halafu wanalalamika wameibiwa kura.

Maendeleo hayana vyama!
70% ya viongozi wa ccm hawaungi mkono chama chao , bali wamo mle ili kuokoa roho zao tu .

2183704_IMG_1183.jpg
 
mkuu chama kama mpira tu kila mtu ana falsafa yake anayoamini

mm hapa wazee wangu ni pure ccm but sijawahi kukipenda kile chama
 
Mkuu wangapi wanaofungishwa ndoa na padri ambaye hajaoa???.. nauliza tu.
Kwa CCM utabakia tu kwenye jumuiya ukipewa kazi za kutumwatumwa siyo kuongoza wengine.

Mtu unayekula kwa wazazi wako utawaongozaje watu wanaojilisha na kulisha familia zao?!
 
Wakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha.

Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake.

Kiukweli nyakati nyingine Chadema huwa wanaamua wenyewe washindwe halafu wanalalamika wameibiwa kura.

Maendeleo hayana vyama!
Tundolee upumbavu wako hapa
 
Kwa CCM utabakia tu kwenye jumuiya ukipewa kazi za kutumwatumwa siyo kuongoza wengine.

Mtu unayekula kwa wazazi wako utawaongozaje watu wanaojilisha na kulisha familia zao?!
CCM kumejaa mataahira! Ona eti hii nayo ni hoja? Ama kweli, nantombe nokho nashik'aha?
 
Back
Top Bottom