Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Kumbe wewe Ni mmoja wao πTuache tujibrandi
Nyingine ni ushubwada ππ kuna moja niliona, bwana harusi mtarajiwa anacheza, yan kwa kifupi sio furaha, ni aliranduka π€£π€£Tuache tujibrandi
Hahahaπ π πNyingine ni ushubwada ππ kuna moja niliona, bwana harusi mtarajiwa anacheza, yan kwa kifupi sio furaha, ni aliranduka π€£π€£
Nikasema ningekuwa mimi ndo bi. harusi, hakii namfinya kidogo ndo atulie
Wapokeaji na kufanywa meme nisawa?Harusi ni public event, kuwekwa kwenye status na clip mitandaoni siyo shida ili mradi si kwa nia ya kudhalilisha.
NaamNaunga mkono hoja
Noma Sana mkuuπKuna mwanangu alipostiwa na MC fulani ,kwa zile comments yeye na mke wake sijui siku yao ilikuwaje.Watanzania wana shombo aisee.
Kuna mwana wa Mungu kwenye Biblia alimchezea Mungu mpaka nguo zote zikatoka, ndo kilichotokea kwa bwana harusi mtarajiwa extreme furaha πNyingine ni ushubwada ππ kuna moja niliona, bwana harusi mtarajiwa anacheza, yan kwa kifupi sio furaha, ni aliranduka π€£π€£
Nikasema ningekuwa mimi ndo bi. harusi, hakii namfinya kidogo ndo atulie
Mkuu ukiziona hizo clip tiktok/ insta.. jaribu kupitia comments, ni sifa+ minyambuo hatari.Harusi ni public event, kuwekwa kwenye status na clip mitandaoni siyo shida ili mradi si kwa nia ya kudhalilisha.
π π π NidaudiKuna mwana wa Mungu kwenye Biblia alimchezea Mungu mpaka nguo zote zikatoka, ndo kilichotokea kwa bwana harusi mtarajiwa extreme furaha π
Mbaya SanaπMkuu ukiziona hizo clip tiktok/ insta.. jaribu kupitia comments, ni sifa+ minyambuo hatari.
Kuna nyingine niliona kwa GaraB, mkaka na mams wake ndio tonight project. Siwajui, ila kupitia comments unapata mkanda mzima, raia walijimaliza kwenye comments kwamba mwanaume ni mala.ya na huyo mams atakuwa ameroga ndo maana anaolewa yeye.
Huoni hiyo ni mbaya? π
Mbona viongozi na wanasiasa wanapigwa spana mitandaoni hawajaachia ngazi kuogopa comment za wapiga spana? ukishaenda public tu lazima ukutane na comments....Mkuu ukiziona hizo clip tiktok/ insta.. jaribu kupitia comments, ni sifa+ minyambuo hatari.
Kuna nyingine niliona kwa GaraB, mkaka na mams wake ndio tonight project. Siwajui, ila kupitia comments unapata mkanda mzima, raia walijimaliza kwenye comments kwamba mwanaume ni mala.ya na huyo mams atakuwa ameroga ndo maana anaolewa yeye.
Huoni hiyo ni mbaya? π
Mbona viongozi na wanasiasa wanapigwa spana mitandaoni hawajaachia ngazi kuogopa comment za wapiga spana?