Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
- Thread starter
- #61
HakikaTatizo Watanzania tumeshazoea kufanya mambo kienyeji. Yani mtu unamtafuta tu MC unampa hela aje kufanya shughuli yako bila hata mkataba wenye terms zako ambao atau sign mkishakubaliana.
Muwe mnawasainisha mkataba hao Ma MC ili ikitokea akikiuka terms za mkataba umshtaki akulipe damages.