MC Pilipili acha kutafuta kiki kupitia Marehemu Seth(Bikira wa kisukuma)

Hili la huyu jamaa kiukweli sijamwelewa mpka kanifa nianze kuwaangalia marafiki zangu kwamba siku nikifa wanaweza kufanya hayo niliyoyaona.ma selfie kibao mara sijui subscribe uone dah kosa vyote ila BUSARA ikipungua ni MZIGO.

Sent from my HTCD200LVWPP using JamiiForums mobile app
 
Leo waliambiwa wasipige picha mwili wa marehemu,la sivyo tungeona hata picha ya mwili wa marehemu ukiwa ndani ya jeneza,pongezi sana kwa kamati ya mazishi kusimamia hili watu wasipige picha mwili wa marehemu.
 
Swaswa,kijiji kimoja Dodoma majirani zao na kile kijiji cha Zuzu
Wanakula sana viwavi jeshi kama mboga sbb ya ukame,na hutegemea mahikwii na mamung'unya kama mbadala wa maboga...Ni walaji wazuri sana wa sesetya na udawi pori
Swaswa kumeshakuwa mjini sio ile ya zamani wagogo wanajua hata kwenda club sahivi wanatembea kwa mguu mpaka 84
 
Duh! Dodoma pana majina lipo pori moja linaitwa swagaswaga.
 
Swaswa kumeshakuwa mjini sio ile ya zamani wagogo wanajua hata kwenda club sahivi wanatembea kwa mguu mpaka 84
Ha ha ha ha 84 club ya kina John Cheyo enzi akiwa mbunge,unamkuta chooni vijana wana....
Basi hata Nzuguni na Ihumwa itakuwa mjini kwa sasa,kina Aden Rage na Mzee Mavunde(baba wa mbunge) wakiwa CDA wamepiga sana deal za viwanja
 
Nilidhani Nimeliona peke yangu

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Ingawa mimi mwenyewe sina elimu lakini najiuliza sijui ni elimu au ni ulimbukeni? Nimejiuliza kuhusu elimu kwa kuwa jambo hili liko wazi kwamba hakuna mtu anayeruhusiwa kutoa taarifa za mgonjwa (hata daktari anayemtibu) bila ridhaa ya mgonjwa au kama mgonjwa amefariki basi ridhaa ya familia, mtu kama huyu familia ikijipanga vizuri anaweza kushtakiwa na kutiwa hatiani kiulaini.
 
Ha ha ha ha 84 club ya kina John Cheyo enzi akiwa mbunge,unamkuta chooni vijana wana....
Basi hata Nzuguni na Ihumwa itakuwa mjini kwa sasa,kina Aden Rage na Mzee Mavunde(baba wa mbunge) wakiwa CDA wamepiga sana deal za viwanja
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] joni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…