MC Pilipili acha kutafuta kiki kupitia Marehemu Seth(Bikira wa kisukuma)

MC Pilipili acha kutafuta kiki kupitia Marehemu Seth(Bikira wa kisukuma)

Ya ni kweli hakuwahi kuwa na mke ila ana mzazi mwenzie ambae alizaa nae hapo ndio unakuja umuhimu wa ndoa inakupa thamani japo sio sana.

Mbona yeye hamampost kumpa pole kwa kumpoteza mzazi mwenzake
 
Ha ha ha ha 84 club ya kina John Cheyo enzi akiwa mbunge,unamkuta chooni vijana wana....
Basi hata Nzuguni na Ihumwa itakuwa mjini kwa sasa,kina Aden Rage na Mzee Mavunde(baba wa mbunge) wakiwa CDA wamepiga sana deal za viwanja
Nzuguni nimeenda last year pameendelea kidogo tofauti na miaka ilopita

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Yan huyo mwanamke alivofichwa asijulikane pindi yupo hai?
Leo Seth kafa ndo tutamjua?!! Labda ajidhihirishe mwenyewe
 
Mimi nilichoelewa ni watu ambao walikua wanashibana na inawezekana walikua marafiki sana....
Je kuna ubaya wa mtu kuomboleza kifo cha rafik yake kipenz?
What if kama asingepost hata picha moja c mngelalamika tu.......


Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Kujidai wajuaji tu hamjambo! btw sijaona kosa la mcpilpil muacheni aomboleze kifo cha rafiki yake,wametoka mbali..msimpangie khaa, mi sijaona ubaya wowote kwenye account yake ya insta zaid ya kuona picha za kumbukumbu ya maneno ya best wake alivyokua anarepost...haswaa alivyokua anahimiza watu wakaungane naye kwenye maombolezo..unless mtoa mada una lako jambo.
 
Back
Top Bottom