MC Pilipili afungua Kanisa

MC Pilipili afungua Kanisa

Kwasababu wanauwezo wa ku question sio mazuzu wala mazoba..free will na upendo ndio misingi ya ukristo.

Kule upande wa pili misingi yao ni chuki..unafiki..uzushi siku ukitaka kuquestion imani jiandae kuengwa..kupigwa mawe hadi kfa ama kukatwa kichwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Utatu Mtakatifu—Huwachanganya na kuwafanya watu wapoteze imani

1. Imagine wanasema Yesu ni Mungu halafu wakati huohuo eti ni mwana wa Mungu,
2. Yesu alimuumba Maria halafu wakati huohuo Maria alimzaa huyohuyo Yesu
3. Yesu ni mtu halafu wakati huohuo ni Mungu, na wakati huohuo Yesu mtu ambaye ni Mungu bado anapiga magoti kumuomba Mungu wakati Mungu ni yeye mwenyewe.

Haya mambo huwachanganya watu, na mwishowe huona watoke ktk Ukiristo
 
binafsi nikianza kuifikiria Roma empire na pale Vatican namna ukristo ulivyotoka mashariki ya kati na kufika Ulaya... Uhusiano wa Vatican miaka hiyo na wahuni wa Sicily aka Mafia mob.

Nikifikiria tena namna ukristo ulivyotumika kuwatawala waAfrica enzi za ukoloni, maana tulifundishwa moja ya tool iliyotumika kutuwala ilikuwa ni dini na wamisionary walikuwa agent wa wakoloni..

Amri za Kanisa hasa ile inayowataka watumishi wasioe wala kuolewa...

kingine ni mkanganyiko kwenye bible na ukihoji sana unaambiwa kuyaelewa hayo maandiko lazima uwe genius.. kwanini yaandikwe mafumbo au kufichwafichwa wakati ni dini na kila mtu anapaswa kuielewa clearly ili aifuate na kuabudu..?

Israel kujiita Taifa teule kwa kisingizio cha kuandikwa kwenye bible wakati bible yenyewe chimbuko lake ni hapo Israel, Kudhulumu ardhi ya watu kwa kisingizio ni nchi yao ya ahadi reference ni bible...ina maana hata wale Waaustralia kule waseme lile bara ni nchi yao ya ahadi wakati ilikuwa jela ya waingereza ndio vile tu ile ardhi ilikuwa haina mwenyewe...

Wenyeji wayahudi wengi wao sio christian na christian pale ni wachache sana, yaani hata ni muslim ni wengi pale kuliko Christians, inawezekanaje sasa, penye chimbuko la dini wenye dini ni wachache?
 
lol[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna wachache walishindwa kuuelewa uzi
Hongera kiongoz
 
Kwasababu wanauwezo wa ku question sio mazuzu wala mazoba..free will na upendo ndio misingi ya ukristo.

Kule upande wa pili misingi yao ni chuki..unafiki..uzushi siku ukitaka kuquestion imani jiandae kuengwa..kupigwa mawe hadi kfa ama kukatwa kichwa.

#MaendeleoHayanaChama
Je, hii inamaanisha ukiwa na uwezo wa ku-question na kufikiri vizuri utaona kabisa kwamba mbona haya tunayoambiwa kwenye bible kama hataki sawa?? Then utaona Bora tu iwe "Mungu hayupo"?
 
Nilijikuta nikiwa Atheist nikiwa kidato Cha pili tu,hiyo ni baada ya kua deep Sana Kwenye kusoma Bible,
Still bible ni kitabu nachokipenda kina rejea nyingi za kihistoria,
morals and dogma na hua napenda kukisoma tu hasa agano la kale ila tangu nianze kusoma sijaona Muunganiko na huyo Mungu mule zaidi tu ya contradiction, sometimes hekaya ya kufurahisha genge
Za Waisrael,
Nje ya hapo nisiwe mwongo Mimi ni pure Atheist na hakuna mfia Dini atanibadilisha Wala kuniaminisha kitu nikamwelewa Labda huyo Mungu mnaedai yupo aje mwenyewe au atume mjumbe wa maana Sana Ndio nitamuelewa bila Hivyo atakua ni hekaya kama kama hekaya nyingine na hajawahi exist popote!
 
Nilishangaa sana
Nikahitimisha pengine ndio sababu

Hivi kweli yule MC maarufu na yeye ana miliki kondoo sasa hivi?

Na yeye anaombea watu??

Ndio maana watu wana badili gia angani

🤔😷🙅🏽🙅🏽
Kiongozi tushukuru hata kwa maamuzi hayo,je angeamua kuwa el chapo,sera za uchumi no mbovu sababu fedha mzunguko ni ndogo kutokana na upofu wa ccm,uchumi uwe na uwanja moana na export iruhusiwe
 
binafsi nikianza kuifikiria Roma empire na pale Vatican namna ukristo ulivyotoka mashariki ya kati na kufika Ulaya... Uhusiano wa Vatican miaka hiyo na wahuni wa Sicily aka Mafia mob.

Nikifikiria tena namna ukristo ulivyotumika kuwatawala waAfrica enzi za ukoloni, maana tulifundishwa moja ya tool iliyotumika kutuwala ilikuwa ni dini na wamisionary walikuwa agent wa wakoloni..

Amri za Kanisa hasa ile inayowataka watumishi wasioe wala kuolewa...

kingine ni mkanganyiko kwenye bible na ukihoji sana unaambiwa kuyaelewa hayo maandiko lazima uwe genius.. kwanini yaandikwe mafumbo au kufichwafichwa wakati ni dini na kila mtu anapaswa kuielewa clearly ili aifuate na kuabudu..?

Israel kujiita Taifa teule kwa kisingizio cha kuandikwa kwenye bible wakati bible yenyewe chimbuko lake ni hapo Israel, Kudhulumu ardhi ya watu kwa kisingizio ni nchi yao ya ahadi reference ni bible...ina maana hata wale Waaustralia kule waseme lile bara ni nchi yao ya ahadi wakati ilikuwa jela ya waingereza ndio vile tu ile ardhi ilikuwa haina mwenyewe...

Wenyeji wayahudi wengi wao sio christian na christian pale ni wachache sana, yaani hata ni muslim ni wengi pale kuliko Christians, inawezekanaje sasa, penye chimbuko la dini wenye dini ni wachache?
Tena Wayahudi zaidi ya asilimia90 hawamkubali kabisa Yesu na wala hawautambui utakatifu wa Yesu wala Maria.
Wanamchukulia Yesu kua ni mtoto wa zinaa na mama yake alikua muasherati.
 
Utatu Mtakatifu—Huwachanganya na kuwafanya watu wapoteze imani

1. Imagine wanasema Yesu ni Mungu halafu wakati huohuo eti ni mwana wa Mungu,
2. Yesu alimuumba Maria halafu wakati huohuo Maria alimzaa huyohuyo Yesu
3. Yesu ni mtu halafu wakati huohuo ni Mungu, na wakati huohuo Yesu mtu ambaye ni Mungu bado anapiga magoti kumuomba Mungu wakati Mungu ni yeye mwenyewe.

Haya mambo huwachanganya watu, na mwishowe huona watoke ktk Ukiristo
Sasa kwa nini wasihamie kwenye Uislamu ambako kuna logic zaidi? Maana nachoona ni kinyume chake, Watu wengi hasa wanawake wanatoka kwenye Uislamu na kwenda kwenye Ukristo...Mkristo akienda kwenye uislamu basi utakuta kaolewa na bwana tajiri (kafuata hela)

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Nilijikuta nikiwa Atheist nikiwa kidato Cha pili tu,hiyo ni baada ya kua deep Sana Kwenye kusoma Bible,
Still bible ni kitabu nachokipenda kina rejea nyingi za kihistoria,
morals and dogma na hua napenda kukisoma tu hasa agano la kale ila tangu nianze kusoma sijaona Muunganiko na huyo Mungu mule zaidi tu ya contradiction, sometimes hekaya ya kufurahisha genge
Za Waisrael,
Nje ya hapo nisiwe mwongo Mimi ni pure Atheist na hakuna mfia Dini atanibadilisha Wala kuniaminisha kitu nikamwelewa Labda huyo Mungu mnaedai yupo aje mwenyewe au atume mjumbe wa maana Sana Ndio nitamuelewa bila Hivyo atakua ni hekaya kama kama hekaya nyingine na hajawahi exist popote!
Sasa kwa nini ukawa Atheist badala ya kujaribu Uislamu?

Back
Top Bottom