binafsi nikianza kuifikiria Roma empire na pale Vatican namna ukristo ulivyotoka mashariki ya kati na kufika Ulaya... Uhusiano wa Vatican miaka hiyo na wahuni wa Sicily aka Mafia mob.
Nikifikiria tena namna ukristo ulivyotumika kuwatawala waAfrica enzi za ukoloni, maana tulifundishwa moja ya tool iliyotumika kutuwala ilikuwa ni dini na wamisionary walikuwa agent wa wakoloni..
Amri za Kanisa hasa ile inayowataka watumishi wasioe wala kuolewa...
kingine ni mkanganyiko kwenye bible na ukihoji sana unaambiwa kuyaelewa hayo maandiko lazima uwe genius.. kwanini yaandikwe mafumbo au kufichwafichwa wakati ni dini na kila mtu anapaswa kuielewa clearly ili aifuate na kuabudu..?
Israel kujiita Taifa teule kwa kisingizio cha kuandikwa kwenye bible wakati bible yenyewe chimbuko lake ni hapo Israel, Kudhulumu ardhi ya watu kwa kisingizio ni nchi yao ya ahadi reference ni bible...ina maana hata wale Waaustralia kule waseme lile bara ni nchi yao ya ahadi wakati ilikuwa jela ya waingereza ndio vile tu ile ardhi ilikuwa haina mwenyewe...
Wenyeji wayahudi wengi wao sio christian na christian pale ni wachache sana, yaani hata ni muslim ni wengi pale kuliko Christians, inawezekanaje sasa, penye chimbuko la dini wenye dini ni wachache?