MC Pilipili amlilia mkewe kwenye kipindi cha Zamaradi | Ni sahihi Mwanaume kumlilia mkeo hadharani?

MC Pilipili amlilia mkewe kwenye kipindi cha Zamaradi | Ni sahihi Mwanaume kumlilia mkeo hadharani?

Hivi mbona JF ni kama hamuoni kinachoendelea kwa MC mwenye chombo yakee....

Hivi ni sahihi mwanaume kumililia mwanamke hadharani kama alivyofanya jamaa...?

Daah Kulia hadharani... nimeshindwà kukubaliana nayo.

Kama kulia nitajiliza faragha, chumbani hukoo tena baada ya kujiliza inafata show ya haja...
Wamenibaka lakini kwa mbinde.
 
Mtu kulia tu mnamtungia uzi, je hao wanaojitundika ka yule wa jana kwa sababu alipoamka tu akakuta kipooza moyo hakipo.

Jamani, kila mtu amejaliwa moyo wa kuyahifadhi mapenzi. Kuna kupenda hadi giza likakuingia ukadhani ni huyo tuu kabaki duniani wengine wote weshajiendea akhera madukani.

Mwacheni ajioneshe. Ka weye hujampata wa jinsi hiyo, basi hujapendwa.
 
Baada ya kujadili kwa kina mabaharia tumekubaliana kumvua sifa ya uanaume mwanaume anaelialia hovyoo
78867479_176431733547897_3882762572885131264_n.jpeg
 
Back
Top Bottom