Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
- Thread starter
- #161
Kulia sawa inaruhusiwa kimaadili haitakiwi mwanaume ulie hadharaniMke wake Anakazi kubwa Sana yakumbembeleza Huyu mwabaume goigoi.
Nchi ikipata wanaume kama hawa wengi inapotea Kabisa.
Ila sijui kama ni mwanaume kweli maana mkewe anambembeleza kama mtoto.
Ni aibu kubwa sana